Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,367
- 11,604
Ila hiyo kazi ina raha zake, unajisikia kama upo mbinguni, hakuna gharama yoyote, ni akili yako tu mpaka wazungu wanatoka kwa speed ya kufa mtu. Ila uwe makini kwani ukimwi bado upo.Niliwaza vitu vingi kabla, baadhi ya vitu hivyo ni kupoteza pesa kwa ajili ya kuhonga na kuhudumia, kuteseka na wasiwasi na maumivu yasiyo kifani, wivu wa hapa na pale pamoja na ugumu wa kutengeneza mahusiano mapya. Hivyo nikaachana kabisa na suala zima la mapenzi. Lahaula! kumbe nilijidanganya, nikajikuta nimeingia kwenye chama cha CHAPUTA na kukitumikia kwa muda wa mwaka mzima hadi sasa pasi na kulamba mbung'o
Nikazoea haswaaa kiasi kwamba wanawake nikawa nawaona kama kinyesi, miezi miwili nyuma kuna kijibinti kilitaka kunitunuku, nikawaza kwa hii severe mstrbtn ni uongo, nitadharirika! nikaamua kukikwepa
Faida nilizozipata ni pamoja na kuweka pesa nyingi tu, nikanunua electronics kama smart tv, sound bars 2 na kisimbuzi cha Startimes, feni na kijipasi, kingine sikuwa na maumivu ya moyo tena kiasi kwanba nyimbo za Lavalava ama Marioo hata nizisikilize vipi, hakuna picha ya mwanamke inayokuja kichwani
Hata nikiwa najishughukisha chaputani, siezi imagine mwanamke akatokea, labda nipite kwenye zile sites zetu
Hasara nilizozipata ni pamoja na usingizi wa ovyo, kujishtukia, kuishiwa pawa, maumivu ya mgongo na viungio, kuchubuka kichwa kutokana na sabuni kali za Boshra, kupauka ngozi, hali iliyopelekea kutafuta Toy Woman kwa 120k
Kwa sasa ni siku ya 3 nimeachana na CHAPUTA nione kama na mimi nitaanza kuwaona wanawake, maake macho hayaoni tena
Siku ya tatu,tatu.....Niliwaza vitu vingi kabla, baadhi ya vitu hivyo ni kupoteza pesa kwa ajili ya kuhonga na kuhudumia, kuteseka na wasiwasi na maumivu yasiyo kifani, wivu wa hapa na pale pamoja na ugumu wa kutengeneza mahusiano mapya. Hivyo nikaachana kabisa na suala zima la mapenzi. Lahaula! kumbe nilijidanganya, nikajikuta nimeingia kwenye chama cha CHAPUTA na kukitumikia kwa muda wa mwaka mzima hadi sasa pasi na kulamba mbung'o
Nikazoea haswaaa kiasi kwamba wanawake nikawa nawaona kama kinyesi, miezi miwili nyuma kuna kijibinti kilitaka kunitunuku, nikawaza kwa hii severe mstrbtn ni uongo, nitadharirika! nikaamua kukikwepa
Faida nilizozipata ni pamoja na kuweka pesa nyingi tu, nikanunua electronics kama smart tv, sound bars 2 na kisimbuzi cha Startimes, feni na kijipasi, kingine sikuwa na maumivu ya moyo tena kiasi kwanba nyimbo za Lavalava ama Marioo hata nizisikilize vipi, hakuna picha ya mwanamke inayokuja kichwani
Hata nikiwa najishughukisha chaputani, siezi imagine mwanamke akatokea, labda nipite kwenye zile sites zetu
Hasara nilizozipata ni pamoja na usingizi wa ovyo, kujishtukia, kuishiwa pawa, maumivu ya mgongo na viungio, kuchubuka kichwa kutokana na sabuni kali za Boshra, kupauka ngozi, hali iliyopelekea kutafuta Toy Woman kwa 120k
Kwa sasa ni siku ya 3 nimeachana na CHAPUTA nione kama na mimi nitaanza kuwaona wanawake, maake macho hayaoni tena
Akirudi hapo atalipiza hadi siku hizo zote tena kwa kila saa atakuwa anapiga bao moja kwa siku per daySiku ya tatu,tatu.....
U r not serious....
Ungesema miezi mitatu ningekupongeza kwa kupiga hatua....
....... lakin siku ya tatu....tatu
....... shetan kakupa likizo tu
Huwez kuacha puchu kma hauna mwanamke wa uhakikaAkirudi hapo atalipiza hadi siku hizo zote tena kwa kila saa atakuwa anapiga bao moja kwa siku per day
Ukiwa na wanawake wa kutosha unaacha vizuri.Sisi ni watu wazima wenzio ebu acha uongo nani kakwambia inaachwa hiyo? Chaputa ni km spea tire kwny gari how come utembee umbali mrefu bila spea tire
Aah wap bora uweke hicho kidogo kuliko kukipoteza kwasababu ya mbunyeKujibana kote huko umeishia kununua feni na king’amuzi? 😹😹😹
Sasa si bora ungeendelea na wanawake huenda ungepata hasira za kutafuta zaidi..!!