Nimeamua kuachana na mademu

Nimeamua kuachana na mademu

chamaclotus

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
1,079
Reaction score
2,273
Kwema wandugu,
Nimeona kufukuzia watoto wazuri inanidistract Sana nisifikie malengo yangu so naona Bora nipige chini nianze kufocus kwenye Mambo ya kujitafutia maendeleo.
 
Wee kichwa cha uzi, nikajisemea anaachana na mademu halafu 🤔🤔🤔🤔🤔🤔
Kumbe kusoma ndani, umefanya jambo la maana sana hongera.
 
Kwema wandugu,
Nimeona kufukuzia watoto wazuri inanidistract Sana nisifikie malengo yangu so naona Bora nipige chini nianze kufocus kwenye Mambo ya kujitafutia maendeleo.
Sabuni haizidi Jero wakati mademu anataka ulipe mpaka kodi
 
Hicho ni kichwa cha juu ndio kimeamua. Subiri ndonga la chini lianze kufikiria na lenyewe utawatafuta walipo mwenyewe.
 
kama ulikuwa umfahamu mzee wa yatapita mwamba huyu hapo pembeni
Screenshot_20230126-154445_Gallery.jpg
 
Kama kweli umeamua kwa vitendo ni jambo la kipekee sana
 
Back
Top Bottom