Na mimi nina mpango wa kuanza hiyo, misheWakuu msaada nimeakata shauri la kufanya cpa na kwa mujibu wa taratibu nitaanza na level ya foundation mwenye ushauri wazo maoni au hata papers na materials karibunj wazee cpa lazima ipatikane inyeshe mvua liwake jua
Sent using Jamii Forums mobile app
Una Bachelor ya nini mkuuWakuu msaada nimeakata shauri la kufanya cpa na kwa mujibu wa taratibu nitaanza na level ya foundation mwenye ushauri wazo maoni au hata papers na materials karibunj wazee cpa lazima ipatikane inyeshe mvua liwake jua
Sent using Jamii Forums mobile app
I
Una Bachelor ya nini mkuu
Kama umeshastick kwa muda mrefu katika kazi...hakuna ugumu zaidi ya kuteleza ...kila la heri katika harakati zakoAccounts mdau sema nimekaa sana muda mrefu toka 2009 nilipomaliza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ulimalizaWakuu msaada nimekata shauri la kufanya CPA na kwa mujibu wa taratibu nitaanza na level ya foundation mwenye ushauri wazo maoni au hata papers na materials karibuni wazee CPA lazima ipatikane inyeshe mvua liwake jua.
Sent using Jamii Forums mobile app