Nimeamua kufanya biashara ya nguo za kike, nisaidieni kutimiza ndoto

La Princesa

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
1,049
Reaction score
1,160
Habari wadauz.....

Nimeamua kufanya biashara ya Nguo za Kike za Mitumba.....Nimepata chumba mlango mmoja(Mwanza ) ila mzigo ntakuwa nachukua DAR...kwa kupoint na Siyo Robota,Je ntapata wapi mzigo mzuri kwa bei Poa?

kariakoo

Mwenge

Karume(Ilala ) ?

Msaada tafadhali
 
kwanini umeamua kuchukulia mzigo Dar??? kwanini usiende mlango mmoja kwa kuanzia kununua hiyo mizigo yako...huon kwamba utatumia cost kubwa ya usafirii nk??
 
kwanini usiende Uganda mkuu ,tafuta uzi wa biashara za nguo Uganda ,ni mzuri sana utakusaidia
Kingine mimi ningekushauri utafute mahali pazuri especially wanapopita sana wanafunzi wa vyuo na wadada 20-35years hao ndo wanaendana na fashion .Wengine wamemaliza vyuo ndo wamepata kazi so wanahitaji kuonekana,wengine mikopo ,na umri huo ndo wanatafuta mabwana na mabuzi ya kuchuna .
huo ndo ushauri wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…