Nimeamua kufuta shkamoo

Kuna kidemu nilikuwa nakifukuzia kila nikikutana nacho kinaniambia Shikamoo ...mm nakijibu fresh tu ila kwa sasa nakimega
 
Then kuna mdada kidogo mkubwa wa mwenye nyumba nilikuwa nimezoea kumpa shikamoo sasa kapata kibwana Fulani kishikaji tu ambacho siwezi kukipa shikamoo ..aisee wakiwa wote napataga shida maana yule mshikaji namwambia mambo then yule sister nampa shikamoo cjui huwa wananichukuliaje hawa
 
Salamu ya KITUMWA hiyo. Tulikuwa tunampa mwarabu. Inabidi sasa ifutwe RASMI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…