Nimeamua kuishi kwa KK mbili ambazo ni kusikiliza na kutafakari

Nimeamua kuishi kwa KK mbili ambazo ni kusikiliza na kutafakari

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Salaam JF,

Hali ya ukimya wangu hivi karibuni katika jukwaa hili ni matokeo ya kuishi nadharia na vitendo katika KK mbili ambazo ni kusikiliza na kutafakari.

Haijawa rahisi sana ila ndio hali halisi, sioni umuhimu wa kuainisha sababu, itoshe kusema naendelea kufurahia uamizi huu.

Kila jambo ni mzuka kwa wakati wake.

Acha inyeshe ndio msimu wake huu.

Bismillah

Wadiz
 
Sasa mbona umesema tayari? Umeshatoka kwenye lengo.
 
Back
Top Bottom