Salaam JF,
Hali ya ukimya wangu hivi karibuni katika jukwaa hili ni matokeo ya kuishi nadharia na vitendo katika KK mbili ambazo ni kusikiliza na kutafakari.
Haijawa rahisi sana ila ndio hali halisi, sioni umuhimu wa kuainisha sababu, itoshe kusema naendelea kufurahia uamizi huu.
Kila jambo ni mzuka kwa wakati wake.
Acha inyeshe ndio msimu wake huu.
Bismillah
Wadiz