Nimeamua kujilipua. Nimeanza upya

Hongera bwana sio kila mafanikio mje kusema hapa mtawauwa bure watoto wa watu .

Mfano mimi jana tu nimelala na mademu wawili wa kwenda ila sijasema kwa watu nimevunga nafrahia moyoni kimya kimya hivyo ni rahisi badaye kupata demu mwingine kirahisi
ID fake zinatusaidia sometimes. Japo kuna baadhi tunajuana huku
 
Umefanya kitu kikubwa usikate Tamaa endelea kupambana Allah atakufanyia wepesi utakua mtu mwenye uwezo mkubwa baadae πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…