G
SafiWanajamii mko fresh eee...
Ebwana haya maisha ni noma sana, mambo yanachanganya na mengine yanachosha moyo.
Baada ya kujitafuta sana kwa miaka mitano kwenye harakati mbalimbali, hatimaye leo nmeamua kubadili mwelekeo wa mambo.
Nilianza na kupanga chumba kimoja, baada ya mwaka nikaona nina uwezo wa kumudu nafasi kubwa zaidi... nikahamia chumba na sebule. Harakati hazikupoa, nikaona nioe.
Huko nikaishia kupigwa za uso na nikamfukuza mke. Maisha yakawa bomba sana kwa kiasi chake. Nikafanikiwa kununua viwanja vitatu, boda 2 na kuongeza msuli wa kazi.
Mwezi wa pili nilikaa nikaitafakari kazi + mazingira ninayoishi nikajiona ni kama mda wote sikuwa kwenye mstari ninaoutaka.
Niliamua kuuza kila kitu, viwanja vyote, boda zote na mzigo wa kazi nilokuwa naifanya hadi kila kitu cha ndani.
Nilikamata milioni 16 huku nikiwa sina hata pa kulala, japo chumba nilibaki nacho. Nilisepa nikaenda mkoa ambao sikuwahi hata kuufikiria, nikasoma upepo nikaona kuna fursa.
Nilinunua mashine 2 za kukamua alizeti pamoja na mashine 1 ya kuparata mkonge then nikaingia sokoni.
Niliajiri vijana 9 nikaanza kukimbizana na fungu la kupata au kukosa.
Kwa sasa maisha yameanza na ukurasa mpya. Hadi sasa nimesev milioni 7 tu kwa miez 2.... japo ka moyo kanadunda kwa maamuzi nilochukua.
Ila fresh... nimejilipua.
Ila Uzinzi haukataiKATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
Ume sikia Nime zini na nani? coz hata gf, Sina coz naona ni kama distraction flani hivi.Ila Uzinzi haukatai
Sina ID nyingine kiongozi nilikua mpenzi msomajiElfu 2 ya miaka 27 iliyo pita ehh?, haya I'd yako ya zamani ni ipi?
Oya ma niggas Half american, Extrovert, min -me mna ona hii trailer π
Nijaribu basi hutojutiahajui si dagaa kauzu, hatu yumbishwi na mchuzi wa kuazimwa
Hii inanifanya nikukubali zaidiUme sikia Nime zini na nani? coz hata gf, Sina coz naona ni kama distraction flani hivi.
HAlafu uzinzi sio mwili tu, Bali kiroho pia, je nita unganisha mwili na wangapi.
Nimeona mkuu wanguCammilla umeona hii!
Nijaribu basi hutojutia
Mbona speed Kali Sana bibie?, hata nusu albino Half american na Vishu Mtata lazima washangae, au una jini mahaba?Hii inanifanya nikukubali zaidi
Oya Selikavu, adriz, Half american, Vishu Mtata , dosho12 uki sikia zali la mentali ndo hili wanangu π π€£ π.Nijaribu basi hutojutia
Thanks mkuu.Nimeijibu kwa apo chini mkuu.
Sio mtego huo Kiongozi ili chama kiyumbe πππOya Selikavu, adriz, Half american, Vishu Mtata , dosho12 uki sikia zali la mentali ndo hili wanangu π π€£ π.
Duh watu wana zariπOya Selikavu, adriz, Half american, Vishu Mtata , dosho12 uki sikia zali la mentali ndo hili wanangu π π€£ π.
Kaka ahh ime bidi nishake up my fuckving head, Kisha ndio nisome ana maanisha nini π πDuh watu wana zariπ
Dah majaribu haya, dhidi ya chama Chetu ππ€£Sio mtego huo Kiongozi ili chama kiyumbe πππ