Nimeamua kujilipua. Nimeanza upya

Naomba kazi ktk kampuni yako ya kukamua Alizeti.
Niko serious, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mtoa mada HONGERA,
Unainspire vijana wengi Sana,

Kiuhalisia,
Kuna MDA wanawake wanatulostisha sana,

pia Kuna maamuzi tunashindwa kufanya kwasababu tunaishi na wanawake.
 

Hiyo inalipa mkuu.Maadamu umeshapata 7m.utarudisha 16 yako yote baada ya miezi 3 ijayo kama ukikomaa hivyo hivyo.Chukulia uko vitani,unapambana na baadaye yako. timiza malengo,punguza wenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…