secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
NDOA NI SHIMO LA TEWA NDANI YAKE KUNA JOKA LA MDIMU.KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
This time niko mbali mmenikosa shemeji.Haji manara tuibuke kuku kuku Leo jioni?, cc binti kiziwi location yasoma wapi๐๐
Asante mkuu. Hapa nakomaa as if sijarudisha chochoteHiyo inalipa mkuu.Maadamu umeshapata 7m.utarudisha 16 yako yote baada ya miezi 3 ijayo kama ukikomaa hivyo hivyo.Chukulia uko vitani,unapambana na baadaye yako. timiza malengo,punguza wenge
Na iwe kheri, nikiwa around lazima iwe. Hata Half american sija muona sijui ana ogopa kujulikana yeye ni haji manara ๐This time niko mbali mmenikosa shemeji.
Nikirudi inshallah.
Uwe una acha ubwege basi, haji manara akili yako ime kaa kishirikina sanaNdio wapi huko mkuu
Aisee๐๐คฃAcha woga mtoto kautaka mpe
Umelazimishwa? Si ukae na gololi zako..!!Wanawake wanafilisi si mchezo
Wanaume unaweza ishi kula hata 5000 kwa siku ila si ukiwa na mwanamke sembuse wanawake..
Ukitaka kufeli maisha oa mapema. Naungana na wewe. Mwanaume anapofikiria kutengeneza familia yake, mwanamke anaona anaingia kwenye fulsa.KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
๐๐๐๐Ume sikia Nime zini na nani? coz hata gf, Sina coz naona ni kama distraction flani hivi.
HAlafu uzinzi sio mwili tu, Bali kiroho pia, je nita unganisha mwili na wangapi.
Kununua mly haija wahi kuwa priority yangu, na kwanini ninunue ehh aisee๐๐ค.๐๐๐๐
Mi nimeuliza tu km hutaki ndoa itakuaje sa? Au una uwezo wa kukaa tu bila kuwa na gf au kununua?
Madogo mna jisahau, kushika 20-30m mna jiona mme panda day๐Huu uzi nimeona wengi wameupenda, hii inaonyesha jinsi gani watu humu hawana kazi/ kipato cha kueleweka kusukuma maisha lakini midomo sasa..!!?? ๐น๐น๐น
Mbona umechulia personal..Umelazimishwa? Si ukae na gololi zako..!!
๐น๐น๐น Nimeona matajiri wengi wa JF wanamshukuru mleta uzi anawainspire, moja kwa moja nikaona kuna tatizo..!!! ๐คฃMadogo mna jisahau, kushika 20-30m mna jiona mme panda day๐
Wala labda wewe uliyeandika kwa uchungu kuhusu wanawake..!!Mbona umechulia personal..
Kuna tatizo lolote
raisi wa ma jobless pro max acha nikae kimya ๐๐คฃ.๐น๐น๐น Nimeona matajiri wengi wa JF wanamshukuru mleta uzi anawainspire, moja kwa moja nikaona kuna tatizo..!!! ๐คฃ
Huu ndio uhalisia hakuna uchungu wowote...Wala labda wewe uliyeandika kwa uchungu kuhusu wanawake..!!
Jiue mkuu ili kuepeuka hayo mbona simple tu ya nini uteseke??Huu ndio uhalisia hakuna uchungu wowote...