Nimeamua kujilipua. Nimeanza upya


Nakuona mbali sana, usife moyo,funga zipu.
 
viwanja 3, boda 2, mzigo wa biashara, vitu vyote vya ndani.....16M?? hii chai
Kwani kama kiwanja kimoja ni milioni 3,na huo mzigo wa biashara ni milioni 10 haiwezi fika hio pesa.
Acha ujuaji wa *******
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…