Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,713
- 6,121
Habari za Week end
Ndugu zangu,Kwa mujibu wa Vigezo vya JMT na kwa kuzingatia uzamifu wangu katika masuala yanayonihusu Nimeamua kujitunuku Shahada ya 10 yaani PHD.Vigezo nilivotumia kujitunuku Shahada hio ni kama ifuatavyo;
Unawezaji kupata PHD bila kuchapisha hata nyuzi moja Jamii Forum,au hata kwenye majarida mengine ya kimataifa?Inawezekana kwa Tanzania tu.
Ombi kwa Uongozi wa JF,Mtupe vyeti kabisa baada ya kutupatia PHD zetu.
Nawatakieni kila la heri madokta watarajiwa kama Kiranga GENTAMYCINE Zitto na wengine wengi wenye kuhitaji PHD za Mchongo

- Nimeandika na kucahpisha katika Jarida Maarufu kabisa la Jamii Forums ambapo maandiko yangu mbalimbali yamefanikiwa kufanyiwa Peer Reviews na watu wa kada mbalimbali wakiwamo MODS wa JF wakiongozwa na Maxence Melo PHD ambaye naye ametunukiwa Shahada hio kutoka kwangu.Izingatiwe kwamba ili uzi wako upite na kuchangiwa hapa JF lazima uwe na upekee,ukiurudia unafutwa,ukiandika ujinga unalimwa ban,ukichabgia vizuri unapewa like,ukiburudisha unapewa Comment kabisa.Nyuzi za JF zinafanyiwa Review na watu wenye viwango vya elimu tofauti katika fani tofauti na hivyo mchnago wako kama mwandishi unafikia wengi(High impact Journal)
- Kwa Kuzingatia vigezo hivi basi pamoja na mimi naomba tupendekeze wana JF mbalimbali ambao wapaswa kutunukiwa PHD zao mwaka huu ili na waingia katika orodha ya Ma PHD holder wengine kutoka UDOM na INDIA kama Vile,Musukuma,Biteko etal