Nimeamua kujiunga na JamiiForums naomba ukaribisho wenu

Nimeamua kujiunga na JamiiForums naomba ukaribisho wenu

Priscallia

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2019
Posts
496
Reaction score
2,449
Habari wana JF,

Naitwa Priscallia natokea Dar. Nimeamua kujiunga na JamiiForums ili kupata maarifa na kuongeza wigo wa marafiki.

Naombeni mnipokee
 
Picha yako tafadhali mtaa unaoisha na namba ya kitambulisho chako
 
Wapi alipo huyu mtoto ncheke ujue nampendaga sana ila mara ya mwisho alinitisha kwamba ana UKIMWI kumbe fix tu
 
Back
Top Bottom