Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,451
Safi, mi nliondoa ya jion tu, ila asubuhi napga chai kama kawa, mchana natupia ugali, usiku sahani ya matunda mchanganyiko,, nlianza mwaka jana mwishoni, hadi leo navokuambia malaria siijui, ila Mungu naye YupoKama heading inavyojieleza, takribani wiki sasa ninapata break fast na lunch pekee wakati jioni naweza kula matunda na grass moja ya juice au maziwa mtindi. Diet hii haihusiani na kupunguza mwili maana sina mwili wa kupunguza
Naomba kujua kama panaweza kuwa na madhara yoyote kwa ratiba hii
Ahsante sana mkuu, na mimi naanza kuzoea siki tatu za mwanzo nilihangaika kidogo njaa ilikua inanisumbua lkn naona sasa naanza kuzoeaSafi, mi nliondoa ya jion tu, ila asubuhi napga chai kama kawa, mchana natupia ugali, usiku sahani ya matunda mchanganyiko,, nlianza mwaka jana mwishoni, hadi leo navokuambia malaria siijui, ila Mungu naye Yupo
Unazoea mkuu, ni nzuriAhsante sana mkuu, na mimi naanza kuzoea siki tatu za mwanzo nilihangaika kidogo njaa ilikua inanisumbua lkn naona sasa naanza kuzoea
Ahsante mkuu japo issue sio kula ili kubana bajet au kwa sababu havipo, hapa naangalia faida kiafya kama ipoMwili una Tabia ya kuadapt situation.. Kwa hiyo ukila mlo mmoja kwa siku mwili utajiadjust kulingana na mazingira.
Kuna waethiopia kule wanakula mmlo mmoja wa majani tu ya mlungi lakini wapo hadi leo.