Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi


Elinino.
Its 4yrs since umeandika ilo wazo hapo juu. Pls tupe progress kama njia ya kujifunza. Je lengo au plan lilifanikiwa kwa asilimia ngp? 50%? 80%? Au zaidi ya 100%?. Coz niko kwenye same mchakato nimeanza nimeona utamu. Nataka nijikite kbsa kwenye kilimo.
 

Usimalize maeneo yote mkuu
 
Usimalize maeneo yote mkuu

Lipi jema, nimalize mimi mbongo mwenzako ambaye faida tunaila hapa hapa Manzese au tumpe jamaa wa pua ndefu faida akale kwao majuu?

Mkuu,hakuna atakayemaliza ardhi ya bongo !!!!
 
Hebu naomba uniweke vizuri hapo kwenye gharama

Kwanza naomba kujua Turiani hawaweki mbolea? na kama wana weka mbolea ni mara ngapi( Kupandia, Kukuzia au Kuzalishia)

Baada ya hapo nataka kujua gharama za kulima shamba kwa ekari moja
Gharama za palizi ya kwanza na yapili.
Gharama ya kupanda maana ekari hamsini huwezi panda peke yako
Gharama za uvunaji na mbegu.

Gharama ya kuandaa shamba mpaka kuvuna kwa Tsh 100,000/= sidhani kama ni sahihi. Pia kupata gunia 30 kwa ekari?


Itc more theoretical than practical.
 
Greetings,
Naomba kupata feedback kuhusu kilimo ulichofanya, mafanikio,changamoto nk. Pia naomba kwa yeyote mwenye taarifa sahihi za gharama za kilimo huko Turiani anisaidie ili niweze kujua namna ya kuungana na wenzangu kwenye kilimo.

Ahsanteni sana.
 

Nakutumia Naomba zangu PM ntakupa full details kuhusu hitaji Mimi nipo Turiani.
 
Nakutumia Naomba zangu PM ntakupa full details kuhusu hitaji Mimi nipo Turiani.

Nashukuru sana Mkuu, nimeona PM yako lakini haina namba ya simu na nimejaribu ku reply ikakataa kwakuwa sijafikisha topic 5. Naomba ujaribu kuniandikia tena namba zako tafadhali.
 
Nashukuru sana Mkuu, nimeona PM yako lakini haina namba ya simu na nimejaribu ku reply ikakataa kwakuwa sijafikisha topic 5. Naomba ujaribu kuniandikia tena namba zako tafadhali.

Cheki PM yako tena nimetuma namba.
 
Nilikua namshauri ndugu yangu mmoja awe ana attend seminar za entrprenuership aboreshe biashara zake akannijibu hivi

'' yaani mtu ambaye hajawahi kuuza hata karanga akanifundishe biashara?
Nadhani ni uelewa wa huyo rfiki yako tu hapo katika mambo ya consultation na semina za capacity building, mbona mwalimu anakufundisha uwekezaji darasani lakini yeye hana hata investment yeyote? pia kuna profesa mmoja wa mambo ya Strategic management na business management (MICHAEL E. PORTER)from harvard business school, anatoa mafunzo bora kabisa dunian kuhusu competitive advantage.

Sasa mbona yeye si mjasiriamali lakini anafundisha wajasiriamali wakubwa duniani na wanafanikiwa sana la kuangalia hapa ni tofauti ya soft skills na solid skills, kuna waalimu wa ujasiliamali hawanabiashara ndio lakini wamefanyakazi kwnye secta fulani na wanauzoefu mkubwa sana.

Mtazamo tu
 
amani kwenu wajasiliamali. nahitaji kulima mahindi msimu huu ila nimelenga soko la kuyauza yakiwa bado mabichi..
naombeni uzoefu kama kuna aliyewahi fanya hivi kuhusu faida..
nalima ekari mbili
 
Kama Upo Karibu Na Ukanda Wa Pwani muda huu(up to jan15) ulitakiwa uwe umepanda. Mahindi ya vuli yapo mbioni kukomaa, so ya jan obviously march ungetoa na kipindi hicho sio cha msimu wa mavuno rasmi ya mahindi Nchi nzima.
Utapata mchuzi km utazingatia kulima kitaalam i,e tumia mbegu ya siku60 tamu kwa kuchoma.
Kila La Heri.
 
ahsante kwa ushauri mzuri mi niko morogoro.. ila ndo kwa mara ya kwanza nataka nijaribu..
 
Kwa morogoro Januar ni ngumu. Hapo itabidi usubiri msimu unaoanza kati ya Feb 15 na March 15 kutegemea uko moro sehemu gani
 
Mkuu dr slaa ndio anaingia madarakani... Tupe moyo ndugu kwani nasi tuko ka tumelogwa
 
Natoa huduma ya Kukufungia Greenhouse ya bei nafuu kabisa. 8m by 18m with complete Drip irrigation system & 1000lt Tank plus Free Extension Service for 3month kwa TSHS.3,200,000/- ONLY. just call 0772668500
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…