Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

Faida ipo uwe na uhakika wa maji tu ikifika mwezi wa 12 mahindi price inakuwa juu sana kwa mfano mbeya debe ni18000 kuanzia mwezi wa huo...wkt mwez huu wa 6 inashuka hadi 12
 
Aisee napenda kilimo cha umwagiliaji kwa kweli,nilidhan ameshakupa taarifa kamili ili utusaidie na sisi
Nami napenda sana kilimo na nina basic knowledge japo si practice kutokana na kubanwa na majukumu mengine, but nafikiria kupata maeneo makubwa kiasi niweke vijana wasimamie
 
Asante hii post ni ya mwaka 2010 je matokeo yake yamekuaje mkuu unaweza kutupa mrejesho sbb mm ndo naiona leo.
 
Nami napenda sana kilimo na nina basic knowledge japo si practice kutokana na kubanwa na majukumu mengine, but nafikiria kupata maeneo makubwa kiasi niweke vijana wasimamie
Yaa wazo zuri,,pamoja na kuweka vijana ila nawe usikosekane mara kwa mara,,,mm binafs nataka kulima mwaka huu na nmejarib kuuliza uliza naona maeneo ya morogoro bado maeneo yapo mengi tu ila sijajua haswa hii migogoro ya wakulima na wafugaji ipoje kwa kweli...unaweza wekeza muda na hela zako kumbe sehem zenyewe zina migogoro ikawa hasara mara dufu...

Hiv kilimo cha green house kina gharama kubwa sana,,maana naona kama kina usalama zaid kuliko hiv vingine
 
Ni kweli green house ni salama lkn huwezi kumudu eneo kubwa ni gharama sana, nafikiri ni vyema kuanza na kilimo cha kawaida ukilenga baadae uwe na green house.

Morogoro kwa hakika yapo maeneo yenye mito yanayofaa kulimwa majira yote
 
Ni kweli green house ni salama lkn huwezi kumudu eneo kubwa ni gharama sana, nafikiri ni vyema kuanza na kilimo cha kawaida ukilenga baadae uwe na green house.
Morogoro kwa hakika yapo maeneo yenye mito yanayofaa kulimwa majira yote
Yaa wacha nijaribu kupambana huku chini kwanza kabla ya kufikiria kutimiza ndoto ya green house, maana mali siku zote ipo shambani, nashukuru sana kwa time yako bro QUIGLEY naiman tunaweza kutana shambani siku moja.

One love
 
Ni miaka 7 sasa imepta Dr SLAA alishapotea ebu twambie ww utakua ni tajiri mkubwa
 
Yaa wacha nijaribu kupambana huku chini kwanza kabla ya kufikiria kutimiza ndoto ya green house,,maana mali siku zote ipo shambani,,nashukuru sana kwa time yako bro QUIGLEY naiman tunaweza kutana shambani siku moja...One love
Amen, kila la heri kwako Xav bero
 
Ni mbegu gani ya mahindi inayo komaa kwa muda mfupi kuliko zote?
 
hongera mkuu kwa hatua kubwa uliyopiga
kwenye kuotesha mazao kuna kitu kinaitwa 'seed rate' ambapo mbegu zikiota inadetermine plant space naona mahindi yapo karibu karibu kabisa hivyo hapo kuna intraplant competition (mgongano wa kimaslahi kati ya mmea na mmea kupata nutrients) siku nyingine chunguzan hilo upana kati ya mstari na mstari 70cm na upana 30cm kwa mavuno bora ya mahindi
Goodluck
 
Mkuu, nimekutumia private massage, naomba uingie usome kama hautijali. Ntashkr nkiona feedback. Asante
 
Its great vision of being rich . I'm really pleased
 
Kwa mwenye uzoefu na kilimo cha mahindi naomba anisaidie mawazo

Nataka kulima Mahindi maeneo ya Kimbiji mkoa wa Dar es salaam

Ningependa kujua Mbegu gani ni nzuri kwa ukanda huu, Madawa gani ntahitaji, Mbolea kiasi gani

Eneo nalotaka kulima ni heka 2, na Maji yapo ya kutosha eneo hilo endapo ntahitaji kumwagilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…