Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

Hello..... Karibuni Sana Katika group linalohusu ufugaji wa nguruwe

Karibu Sana wewe mtaalamu wa mifugo, mfugaji, mnunuzi, pamoja na Wale wenye kiu ya kujifunza zaidi kuhusu ufugaji huu wenye tija na kipato cha uhakika.....

Click link ifuatayo kujiunga......

Zingatia kujitambulisha pindi tu uingiapo katika group hili
ZINGATIA KUJITAMBULISHA PINDI TU UINGIAPO KATIKA GROUP HILI... JINA, MKOA, SHUGHULI

TSA- PIG FARMING
 

Kwa sasa huko maeneo ni sh ngapi kwa heka naomba kupata mwongozo
 
Halafu wakuu nimesikia kuwa mahindi ya Dodoma yanatoa unga kilo nyingi yakisagwa kuliko mahindi ya sehemu zingine.

Na kwamba mahindi ya Mbeya (na nyanda za juu kusini) unga wake ni mtamu kuliko mengine.

Kwa hiyo nikasikia kuwa mahindi ya Dodoma huwa yananunuliwa kwa bei kubwa, na yanawahi kuisha sokoni.

Swali je:

1. Hayo maneno ni kweli?

2. Kama ni kweli, je sababu ni nini? - Hali ya hewa au aina ya mbegu au vyote? Mfano unaweza ukapanda mahindi ya Dodoma Mbeya na vice versa?
 
Mkuu maneno haya ni ya kweli. Na tofauti hii inasababishwa na aina ya udongo. Mahindi ya Tanga ndiyo yanashika mkia ktk biashara ya mahindi.

Yanayoongoza kwa bei na ubora ni ya Pwani, yakifuatiwa na ya Dodoma
 
Makadirioni kwamba kila hekari average ni gunia 30,
Mkuu wewe hukijui kilimo cha mahindi, utakuwa umesimuliwa tu. Tena aliyekusimulia ni MTU mzima na siyo kijana. Hivyo ametoa simulizi za kilimo cha mahindi ktk mkoa wa Moro miaka ya nyuma sana


Sasa hivi kupata gunia 30 kwa ekari, HAIWEZEKANI, na HAITATOKEA ,
.n.k
 
mkuu ulifanya maamuzi mazuri sana mkuu
 
mkuu ulifanya maamuzi mazuri sana mkuu
Swali ni kwamba unalima kwa kutegemea hii mvua ya Mungu wetu au unamwagilia!? Hilo moja, pili ni muwa je umesahawahi kulima? Na uana wataalam wowote in this noble initiative? Ni vizuri kuyaangalia hayo pamoja na mambo mengine mengi ya kitaalamu ili ushinde Elnino! Bye for now
ELNINO, sijapitia uzi wako kwa muda mrefu tangu ulipouleta hapo 2010. Leo ni 2018, kwa kweli binafsi nitafurahi na kuhamasika sana kujua maendeleo ya mradi huo leo - yaani miaka minane (08) tangu ulete uzi huu. Ni ombi tu ili tujue feedback na maendeleo yako katika kilimo hiki huko TULIANI.

Nia ni kutaka tujue UMUHIMU wa kilimo in our economy as individuals and as a NATION. By the way ardhi bado ipo huko Tuliani, yaani ya kununua na ni bei gani kwa sasa kwa ekari moja?
 
Nawakumbusha tu, kwa sasa ukiweza kuuza gunia la mahindi zaid ya 25,000 umshukuru mungu
 
Jamani wana JF; tunauza vifaranga vya kienyeji PURE; mbegu toka Morogoro; Mbeya; Iringa; Dodoma na Morogoro: Pia tunatotoresha mayai aina zote kwa 8,000 kwa tray. Tuwasiliane kwa PM au piga 0682 231053
 
Mbegu za DK Zina mazao mengi, shida sasa ni unga wake ni mwepesi sana, hivyo hutumia unga mwingi kupika ugali wa watu WACHACHE.
Kwa Tanga ambapo ni pwani, tumia Seedco 403, mahindi yake ni mazito, na pia ya muda mfupi.
mkuu dk 9089 iringa vp?...udongo ufinyanzafinyanzi...nataka kuuza gobo!
 
mkuu dk 9089 iringa vp?...udongo ufinyanzafinyanzi...nataka kuuza gobo!
Kwa mahindi ya kuuza mabichi, mahindi mazuri ni hybrid Ile ya Kenya ya muda wa Kati, kwani iringa siyo baridi sana wala siyo joto sana, kwa sababu yanasukari kuliko dk.

Sent from my Infinix-X551 using Tapatalk
 
Jamani wana JF; tunauza vifaranga vya kienyeji PURE; mbegu toka Morogoro; Mbeya; Iringa; Dodoma na Morogoro: Pia tunatotoresha mayai aina zote kwa 8,000 kwa tray. Tuwasiliane kwa PM au piga 0682 231053
Hivyo vifaranga mnaviuza kwa shiling ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…