Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

kuna kulima halafu kuna kutifua ardhi na kufukia mbegu
 
Vipi mkuu ushakuwa tajiri kwa kilimo cha mahindi? Vipi sasa ivi una heka ngapi?
 
Good
Hata Mimi ndio kazi yangu Kwanza naifanya kwa hobi pili kwa ajili ya kipato na chakula tu Kila msimu huwa naanda shamba lenye ukubwa wa heka 4 shida mtaji na wanyama wahalibifu
Kuna wanyama poli na wakufugwa umejiandaje kwa Hilo ili nami nipate somo au tuliani hakuna shida hiyo
 
Wajamii wa iringa maeneo ya Mafinga natafuta mashamba jamani msimu wa kilimo umefika
 
 
so kweli kaka heka moja magunia thelasini mbolea gani unatumia
 
Kwa mahindi ya kuuza mabichi, mahindi mazuri ni hybrid Ile ya Kenya ya muda wa Kati, kwani iringa siyo baridi sana wala siyo joto sana, kwa sababu yanasukari kuliko dk.

Sent from my Infinix-X551 using Tapatalk
Ndio mbegu gani hjyo
 
Kwa wakulima wa mahindi naskia kunauwezekano wakuzalisha gunia 15-20 kwa hekari ....je? Ni vitu gani vinaweza kunifanya nifikishe malengo ya kuzalisha idadi hiyo ya mahindi kwa kila hekari ntakayolima??
 
mtafute afisa kilimo alioko katika kata yako, atakupa ushaur ambao utakufaa zaidi, na wapo kwaajil hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…