Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

Nimeanza kilimo rasmini mwaka Jana... Na LAZIMA NITOBOE..
Mwakani nitakuja kuwapa update.
Ngoja masika iishe

Ila LAZIMA NITOBOE..!!!
Unafanya irrigation au kilimo cha kutegemea mvua mkuu?
 
Unafanya irrigation au kilimo cha kutegemea mvua mkuu?

Mi nahusika na Parachichi na miti.
Haya mazao ya msimu nalimiaga watu (order) ili niwe bize. Maana nimeacha kazi then haya ya msimu ndio yanayoni keep bize.

Mvua ikiisha narudi kwenye Parachichi zanguu.
 
Mi nahusika na Parachichi na miti..
Haya mazao ya msimu nalimiaga watu (order) ili niwe bize..
Maana nimeacha kazi then haya ya msimu ndio yanayoni keep bize..

Mvua ikiisha narudi kwenye Parachichi zanguu...
Kama ni hivyo sawa,maana mazao ya msimu ni pasua kichwa sana mkuu,haya ya miti na matunda yapo poa zaidi.
 
Tupe mrejesho mkuu umefikia wapi? Maana hapo kwenye gharama zote iwe ni 5M ni uongo ulio tukuka. We are the farmers by field sijui waandiahi humu.

Tupe mrejesho sasa ni miaka kama 8
 
Kilimo cha PDF njoo utupe mrejesho bilionea.
 
Wakuu salama,
El nino alirudi hapa na kutoa mrejesho. Alilima eka 100 kule Turiani na akavuna gunia 10 tu, akaapa kutolima tena na badala yake akaamua kuwa middle man. Yupo Kigamboni kama unaenda Kimbiji anakula Bata Mikadi beach.
 
Aiseee
 
Sijuwi tuliani haliyahewa ikoje, nasijuwi kwanini alifeli (kama kweli alilima, kwa tija). Kilimo cha mahindi kinahitaji mvua ya uhakika, Tanzania hii kuna mikoa ambayo mvua siyo ya kubahatisha, hata ukilima kwenye ardhi isiyo na rutba sana ni mbolea yako tu hukosi japo gunia 20 kwa ekari.

Nilichogundua humu wengi ni wapiga soga, na wachache wanaojaribu wanakuwa hawajafanya utafiti, anategemea avune halafu akimbilie sokoni, akikutana na bei ya mia3 kwakilo anabaki kulia "mahindi hayalipi". Mkulima wakweli jembe halimtupi kamwe.
Wakuu salama,
El nino alirudi hapa na kutoa mrejesho. Alilima eka 100 kule Turiani na akavuna gunia 10 tu, akaapa kutolima tena na badala yake akaamua kuwa middle man. Yupo Kigamboni kama unaenda Kimbiji anakula Bata Mikadi beach.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mahindi irrigation itakuuwa inahitaji pesa nyingi sana, nenda mkoa wenye mvua zakutosha, andaa 5m anza na ekar 10 tu. Hakikisha umepata shamba karibu na mtu mzoefu, mbefriend kisha tembea kwenye nyayo zake. Ukivuna usiwe na haraka ya kuuza, tembea kwenye nyayo za huyohuyo mzoefu ndiyo anajua soko.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu salama,
El nino alirudi hapa na kutoa mrejesho. Alilima eka 100 kule Turiani na akavuna gunia 10 tu, akaapa kutolima tena na badala yake akaamua kuwa middle man. Yupo Kigamboni kama unaenda Kimbiji anakula Bata Mikadi beach.
Alisema changamoto zilikuwa zipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu

Tunaomba feedback ya kilimo chako cha mahindi huko Mufindi na Songea
 
Wakuu mambo vipi?

Naomba kujuzwa kuhusu kilimo cha mahindi na maharage ya njano, kwa mkoa wa Njombe, hasa kuhusu upande wa soko la nafaka hizi. Nahitaji hasa kujua upatikanaji wa soko, baada ya kuvuna .

Kwa sababu nina plan ya kwenda kuanza kilimo mwishoni mwa mwaka huu, kwa mkoa wa njombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…