Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

Nakushauri kama mtaji wako bado ni mdogo anza kwa kununua mazao toka kwa wakulima ongeza mtaji.
 
Habarini wakuu Mimi ni mnunuzi wa maharage ya Njano nauliza mavuno tofauti ya haya maharage sehemu mbalimbali Tanzania
 
Nahitaji msaada wa bwana shamba, HIVI KILO MOJA YA MAHINDI INA MBEGU AU PUNJE NGAPI? Kwamakadirio[emoji848]
 
Je unahitaji kulima mahindi na hauna muda wa kusimamia? Au unataka upate mavuno mengi zaidi? Njoo ofisini kwetu.

Ofisi ya YAD yenye wataalamu wabobezi wa kilimo sasa inakuletea mpango wa kusimamia shughuli zote za shambani. Mkulima utatukabidhi shughuli zako pale shambani kwako sisi tutafanya kila kitu kwa utaalamu zaidi na kukukabidhi mazao yako yakiwa yamekomaa. Gharama zetu ni nafuu sana na tunakuhakikishia kwa ekari moja kuvuna mahindi zaidi ya gunia 30. Usihangaike sasa, sisi tupo kwa ajili yako, Kwa Wale ambao hawana mashamba tutakuwezesha kupata mashamba ya kukodi kwa elfu 40 tu na mashamba ya kununua kwa elfu 60 tu hata ukihitaji ekari 100 za kununua utazipata kwa bei hiyo hiyo.

Kwa maelezo zaidi fika ofisini kwetu.
Jengo la NSSF SONGEA
Ghorofa ya 3 chumba no. 317
Simu. 0621133117
 
Mr. ELNIN0 Naomba mrejesho hapa Tafadhali? Mimi pia nimechoka na ajira
Je unahitaji kulima mahindi na hauna muda wa kusimamia? Au unataka upate mavuno mengi zaidi? Njoo ofisini kwetu.

Ofisi ya YAD yenye wataalamu wabobezi wa kilimo sasa inakuletea mpango wa kusimamia shughuli zote za shambani. Mkulima utatukabidhi shughuli zako pale shambani kwako sisi tutafanya kila kitu kwa utaalamu zaidi na kukukabidhi mazao yako yakiwa yamekomaa. Gharama zetu ni nafuu sana na tunakuhakikishia kwa ekari moja kuvuna mahindi zaidi ya gunia 30. Usihangaike sasa, sisi tupo kwa ajili yako, Kwa Wale ambao hawana mashamba tutakuwezesha kupata mashamba ya kukodi kwa elfu 40 tu na mashamba ya kununua kwa elfu 60 tu hata ukihitaji ekari 100 za kununua utazipata kwa bei hiyo hiyo.

Kwa maelezo zaidi fika ofisini kwetu.
Jengo la NSSF SONGEA
Ghorofa ya 3 chumba no. 317
Simu. 0621133117
 
Wapiga soga wa JF watu wanaulizia feedback kana kwamba watu walieka ubia wakamkabidhi fedha zao sasa wanataka mrejesho. Unafiki tu katoa mwongozo kila mtu apambane na hali yake asa mrejesho mrejesho kuanzia page ya kwanza hadi 41 watu wanataka mrejesho no wonder jamaa kapiga kimya.
 
2010 up to now MIAKA 10 SASA
 
Naomba tuwasiliane
 
SHAMBA+

Habari.....?..
ni taarifa njema kwa wakulima na wauzaji pembejeo pamoja na dawa za kilimo,,,
kampuni yetu pendwa ya NEXIS tunatoa fursa kwa wakulima na wauzaji pembejeo pamoja na dawa za kilimo kuweza kuwasajili bure kwenye system mpya ambayo itawawezesha wakulima,wauzaji pembejeo pamoja na dawa za kilimo muweze kukutana kwa njia rahisi kupitia application maalum ambayo mtapaswa kujisajiri bure ...
kwa sasa tunaanza kuwasajili wale wenye maduka ya uuzaji pembejeo pamoja na dawa za kilimo..ili tuweze kuwaingiza kwenye system yaani application...huduma hii ni bure

karibuni kwa wauzaji pembejeo unaweza kutuma majina yako kamili pamoja na namba yako ili tuweze kujisajili sasa

karibuni sana[emoji1666][emoji1666]
 
Naomba kufahamishwa mbegu ya mahindi yenye sifa zifuatazo:

1: inayostawi ukanda wa chini
2: yenye punje kubwa
3:inayostahimili magonjwa.
 
habari wakuu....?
nimerahisisha kwa sasa unaweza kuingia kwenye hizo link ukajibu maswali ya survey kirahisi...
karibuni kwenye familia ya SHAMBA PLUS
 
na hii ni maalum kwa mabwana shamba utajibu maswali kisha uta submit
karibuni kwenye familia ya SHAMBA PLUS
 
HABARI wakuu

SHAMBA+ ni mtandao unaotumia App, Whatsapp channel na SMS utakaokutanisha wadau wote wa kilimo ie Wakulima, Bwana shamba, wauzaji pembejeo na mbegu na madawa, na masoko ya bidhaa za kilimo. Kazi/dhumuni la huu mtandao ni :
(i) Ushauri wa kilimo kutoka kwa agronomist - NI BURE kama unatumia WHATSAPP au APP, kama ni SMS utalipia

(ii) Maswali na majibu kati ya mkulima, Agronomist, wauzaji pembejeo - NI BURE kama unatumia WHATSAPP au APP, kama ni SMS utalipia

(iii) Agronomist kuweza kuona maduka ya pembejeo/mbegu, wakulima mbalimbali na Agronomists wenzao wa mikoa mbalimbali na kuweza kuwasiliana na kujitangaza - NI BURE ila ni kwa kutumia APP NA WHATSAPP tu

(iv) Kuona masoko na kuwasiliana na wanunuzi wa mazao - NI BURE ila ni kwa kutumia APP NA WHATSAPP tu
 
shamba+

habari wadau wa kilimo [emoji120][emoji120].....kwa sasa tiyari tushafungua whatsapp channel ya kusubscribe isave hii namba +27634444350 kisha ingia whatsapp na uitumie ujumbe wa neno la shamba+ kwa herufi ndogo hapo moja kwa moja utakuwa umesubscribe....

baadaye wadau wengi wa kilimo wakisha subscribe hii channel itakuwa inasaidia kutoa information kwa mfano mkulima akiingia na kuulizia masuala ya pembejeo au bwana shamba basi moja kwa moja ataweza kupata jibu hapo hapo kupitia bwana shamba aliye hewani kwa mda husika...pia unaweza kufollow page yetu instagram shambaplus_

kwa maelekezo zaidi unaweza kunipigia 0692449416
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…