Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

Naomba kufahamishwa mbegu ya mahindi yenye sifa zifuatazo:

1: inayostawi ukanda wa chini
2: yenye punje kubwa
3:inayostahimili magonjwa.
Najua ameuliza hili swali kwa mda mrefu,japo si vibaya nikikujibu leo.

1.Kwa ukanda wa chini mbegu ya DK 8053,na DK 9089 zinafanya vizuri na baadhi ya mbegu za SeedCo.

2.Ukanda wa kati
DK 9089,H625,H 614.

3.Ukanda wa juu
DK 777,H614 hata H 625 huwa inafanya vizuri.
Kwa sasa madukani kuna mbegu nyingi sana za makampuni tofauti. Ni vema ukaomba ushauri kwa wauzaji wa pembejeo au wataalamu wa kilimo walio eneo lako ili wakusaidie zaidi.
 
Asante kwa uffafanuzi mzuri
Mimi niko mkoa wa mara, huu ukanda kitaalam unaitwaje
 

Jambo Moja linalofurahisha
Gharama zote zilizotajwa hapa kwa sasa ni Mara 3 yake na Bei ya Mahindi iliyotajwa kwenye thread mwaka huu ilikuwa 1/3 yake yaani gunia limechezea 25,000-35,000.

Sina hakika kama ELNIN0 kama akiweza ku realize Return on Investment
 
hapa ndio inapokuja sala la kujua ni mbegu gani bora an jee shamba linahitaji mbolea kiasi gani ili uweze kupata mazao mengi per sq meter, in essence bushels per acre....kwa kifupi bado hatulimi kibiashara na hatufanyi utafiti wa kutosha!
 
Hongera, kilimo cha mahindi haya ambayo yanalalamikiwa ? Matarajio yako ni makubwa kuliko uhalia
 
Umesema kwa miaka kumi ijayo hutokuwa na milion 500 kutegemea mshahara wako ...lets assume una milion 400 kwa miaka kumi sawa na milion 40 kila mwaka sawa na milion 3.3 kila mwezi afu unasema utakufa masikini😁
 
Namtafuta huyu mkulima na vision yake ya mwaka 2010 ili na mimi anipe mawazo na kujifunza.
 
Wazo zuri
 
Duh! Ni miaka 12 imepita, huyu mwamba alikuwa na project ya kibabe sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…