Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

Hiyo 5m ndio ilisimamia operation ya shamba kwa kipindi chote? Haikupungua kwa hizo hekari 50.
 
 
Huwezi kulima kwa 5m uvunje 90m upate faida 85 m huo ni uongo ka unataka kufanikiwa kwa hesabu hizo at least running cost utumie 40m ndo faida upate hiyo
Msome vizuri kwa kutulia...there is hidden sarcasm in the post....kingine zingatia unajibu uzi ulioanza 2010...where were you back then?
 
Huwezi kulima kwa 5m uvunje 90m upate faida 85 m huo ni uongo ka unataka kufanikiwa kwa hesabu hizo at least running cost utumie 40m ndo faida upate hiyo
Sahihi kabisa, hasa kwa mahindi. Sjuwi aliko, lakini sehem nyingi hiyo 5m ni eka kumi tu za mahindi, uvuna saaana gunia 400 za 100kg. Umepata bei nzuri saana mwaka huo 1200/kg. Kwahiyo hata upate vipi huwezi kuikuta 50m. Sasa ondoa hiyo SAAANA weka mavuno ya wastani 25bags kwa eka, na uuze bei ya serikali mia7 kwa kg
 
Umesema kwa miaka kumi ijayo hutokuwa na milion 500 kutegemea mshahara wako ...lets assume una milion 400 kwa miaka kumi sawa na milion 40 kila mwaka sawa na milion 3.3 kila mwezi afu unasema utakufa masikini[emoji16]
Milioni 3 take home bila kujiongeza ni kweli unakufa maskini ndugu.
 
Mrejesho vipi ulifanikiwa mkuu!
 
MR Mambo vipi baada ya kusoma hili andiko lako nimeshawishika nikuulize kuuhusu hili kwa sasa unaweza mshauri nini mtu anayetaka kuwekeA katika kilimo kwa xbbu sasa naamini ujuzi na uzoefu wa kutosha unao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…