Nimeamua kumtelekeza mwanangu

Scorpio Me

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
6,119
Reaction score
7,934
Paul pogba
Alitelekezwa na baba yake akiwa na miaka 6 akalelewa na mama yake leo hii kauzwa kwa pesa nyingi Sana

Diamond platnumz
Alikanwa na baba yake mzazi leo hii anavuna pesa nyingi Sana kupitia mziki

Zinedine zidane zizu
Alikuwa mbumbu darasani leo hii ni kocha wa real Madrid

Ronaldo de Lima
Amekulia ktk famila ya walima matikiti leo hii anamiliki shule ya mpira wa miguu huko brazili

Sio hao tu hata hawa jamaa
Vincent kampany,Luis Suarez, Lionel messi, ronadinho na watu wengine maarufu duniani

Mimi pia najiandaa kumtelekeza mwanangu pindi afikishapo miaka 4 tu huenda akawa raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
#JIKAZE
 
[emoji13] fala ww
 
sio wote wanaoyelekezwa wanatoka kumbuka wanaotoka ni wachache wengi wanakuwa vibaka,wezi na mashoga
 
Hahaha chizi ww
 
Akili ya mwendokasi[emoji3][emoji16]
 
unasikitisha sana aisee,sijui ndio hivi vyakula vyenye mbolea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…