Nimeamua kuoa baa medi

Unapo uliza anafanya kazi unajiridhisha je ni matawi ya juu au lah!
 
Hivi mabaamedi nao wanaviziwagwa?
 
Mi niliwahi waambia wawili mama wa nyumbani, kwani niliwaona tena lol

Hahahaha walikimbia mizinga mama wa nyumbani nao kwa mizinga duhh balaa ungesema house girl ungeona bugudha zake
 
tabia za watu zinategemea na historical background zao, Female Bar Maid ni wanawake ambaowanaexperience kubwa sana ya maisha, kuanzia kwenye income mpaka kwenye ugumu wa kaziambayo inainvolve 100% interaction with clients.Kwa hiyo ni kweli kabisa kwamba ma bar maid wanacharacter fulani zinazofanana na ambazo zinaweza kuwa na competetive kwenye ndoa kulinganisha na wanawake wenye experiencetofauti ya kazi.hivyo inabidi uweke wazi hapa ni features zipi kwako ambazo ni priority katika kuchagua mwanamke. mfano1. Uzuri. sio Job related feature.2. Ulevi. Ma bar maids ni walevi3. Low income. Ma Bar maid in low income earners4. Historia ya kuchapwa nao sana. wanaongoza5. uvumivu. wako safi6. nk
 
Kuoa barmed si issue sana, muhimu ni uelewana ndani ya nyumba. Hata kama umeoa daktari kama hakuna uelewano ndani ya nyumba ni kitu bure. Na si lazima kuangalia mke umemkuta anafanya kazi gani, kazi wakati mwingine ni hatua ya kujikimu kimaisha, ndivyo hali za maisha zilivyo. Ukishamuoa mwezeshe na sahau ubaamed wake. Anaweza kuwa na mchango wa kufaa sana maishani mwenu.
 
Nitamuwowa, nitampenda na atanipenda.
 
utajiju na umbumbumbu wenu oeni viazi tu muwaendeshe otherwise mtu na elimu yake huwezikumpeleka peleka hovyo
 
utajiju na umbumbumbu wenu oeni viazi tu muwaendeshe otherwise mtu na elimu yake huwezikumpeleka peleka hovyo

ID yako tu inaonesha wewe ni mwanamke wa namna gani. Watakuchakaza na hawatakuwowa. Utazeeka kama mama spika.
 
Tatizo mnachagua chagua mnoooooo!! Baamedi ni mwanamke kama walivo wanawake wengi, hakosi madhaifu kwa ivo anaweza akawa mke mwema au asiwe. Tatizo mnataka muoe watu perfect 100% as if mnaweza kuumba!!!
 
Mnaboa sana nyie viumbe.
 
dah.......! Wewe uko perfect sana eeeh? Hauna madhaifu? Na hao wanaume wasomi wakoje?

Aisee sisi ni waelewa sana...na huwa tunajitahidi kuwavumilieni sana lakini hamvumiliki. Mnajidai mashauzi sana. Viruka njia.
 
Mi nilifikiri umeoa mwanamke uliyempenda, kumbe barmaid??.........yani hata wewe unaoa kazi za watu au watu wenye kazi.
shukuru mungu ana kazi!!!

Hakikisha bia zipo za kutosha ndani.........akuhudumie vizuri...
 
utajiju na umbumbumbu wenu oeni viazi tu muwaendeshe otherwise mtu na elimu yake huwezikumpeleka peleka hovyo
Mwanamke wa hovyo kweli wewe!!
Unadharau wanawake wenzako kwa vile hawajasoma???...........na ukiwa umesoma inakuaje sasa, unaota m.boo au??
kwamba mumeo akikuchezea unaweza ukam.fir.a au?

pambaf kabisa.
 
Mi nilifikiri umeoa mwanamke uliyempenda, kumbe barmaid??.........yani hata wewe unaoa kazi za watu au watu wenye kazi.
shukuru mungu ana kazi!!!

Hakikisha bia zipo za kutosha ndani.........akuhudumie vizuri...

Mkuu samahani. Hivi wewe ni ME au KE?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…