Nimeamua kuoa baa medi

Ila kuna usemi unasema hivi: A harlot can make a good husband!
 
Mwanamke wa hovyo kweli wewe!!
Unadharau wanawake wenzako kwa vile hawajasoma???...........na ukiwa umesoma inakuaje sasa, unaota m.boo au??
kwamba mumeo akikuchezea unaweza ukam.fir.a au?

pambaf kabisa.

Unajua wanajidanganya kuwa wakisoma wanakuwa warembo kwa sababu ya ma-make up na manywele ya marehemu wa India. Lakini ukweli ni kuwa na MBWECHE nayo ndo inazidi kuwa mbovu kwa sababu ya matumizi mengi na makubwa.
 
kUPENDA NI KUCHAGUA.kAZI NI KWAKO.,,KUOA BAAMEDI AU YOYOTE YULE UMPENDAE..
 
Mnaboa sana nyie viumbe.

Hakuna kiumbe asiemboa mwenzake! Yaani umeona wanawake tu ndo wanakuboa, wewe ulikuwaje kwenye hayo mahusiano yako hadi ushindwane na wanawake wote hao???? Jicheck vizuri bro using'ang'anie kutazama kibanzi cha wenzio tu! Waweza mdharau mwenzio kwa kengeza lake na ukasahau chongo ulonayo, to the extent ukafail hata kuishi na huyo bar maid utakaempata. No wonder we ndo ukawa mzigo hata kwa huyo mdada wa watu!!!
 
Aisee sisi ni waelewa sana...na huwa tunajitahidi kuwavumilieni sana lakini hamvumiliki. Mnajidai mashauzi sana. Viruka njia.

Aliekudanganya kuwa wanaume wasomi ni waelewa sana, nani?? Wadanganye watoto, issue ya uvumilivu na uelewa inategemea na mtu mwenyewe wala sio suala la usomi. Kuna mwanaume mwenzenu humu aliwahi rusha uzi akimtuhumu mkewe kuwa ana dharau kwa kutumia kigezo cha usomi, nashukuru ma intellectuals wa JF wakiwemo wanaume na busara zao walomgundua na kumrudishia kete ye mwenyewe!! Sorry, waite viruka njia haohao unaowajua wewe; BTW, being kiruka njia haijalishi wewe ni jinsia gani, mwanaume pia aweza kuwa kiruka njia!!
 
Unajua wanajidanganya kuwa wakisoma wanakuwa warembo kwa sababu ya ma-make up na manywele ya marehemu wa India. Lakini ukweli ni kuwa na MBWECHE nayo ndo inazidi kuwa mbovu kwa sababu ya matumizi mengi na makubwa.

Unaweza ukaniambia connection iliyopo kati ya USOMI na MATUMIZI YA MB......CHE hadi kuwa mbovu????? (a've named it as per ur say). Mind you, argue with facts and not by matters of mere opinions!!!
 

Mood: Hapa greti thinka kipipi kaongea kwa hasira sana
 
Asante sana.
Watu wengi huwa wanawadharau sana watu hawa, lakini mimi nina experience nzuri sana ya viumbe hawa. Ni tofauti na watu wanavyofikiria.

Wewe unamchukuliaje bar maid? Usitudanganye besti, ningeambiwa kuadhibu watu wanaomdharau bar maid basi ningeanza na wewe! Unaweza kutafakari vizuri mustakabari mzima wa hiyo heading ya thread yako? Unaweza kutafakari vizuri ulichokiandika kwenye huu uzi? Umegundua ni kwa nini hukuandika kuwa umeamua kuoa 'mwanamke unayempenda'??? Tena kama umeona huyo ndo mzuri na anaweza kumake a good wife, then umegundua kwa nini hukutaka hata kuandika, "nimeamua kuoa mwanamke anaenifaa"??? (just thinking aloud)
 
Ina maana baamedi sio mwanamke?Ungekua umepata mmoja kati ya hao unaowaponda ungekuj kutuambia hapa?

Safi sana Eiyer! Mi ndo maana nikasema kuwa ningeambiwa kuwaadhibu wanaowadharau mabar maid, basi ningeanza na huyu!! Simdis ila bandiko lake linaonesha wazi hii character. Na laiti ingetokea fortunately akapata mke kati ya hao wasomi aloachana nao, bila shaka siku ambayo angeulizwa na mkewe "kulikoni na yule dada" unadhani jibu lake lingekuwaje? HUYO BARMAID MI NIMPELEKE WAPI? No wonder this could have been his best answer hata aulizwapo na mtu yeyote!!
 
kwa thread yako naona huitaji ushauri ila umetupa msimamo wako, haya broda kila la kheri
 
Hongera! Mwanamke baa medi ni mzuri sana kwa kulea mume pia kwa malezi.
 
Mood: Hapa greti thinka kipipi kaongea kwa hasira sana

Unanisingizia tu lawyer, mi hapo nimeongea kawaida sana tena kwa ustaraabu mwingi!! Heheheh hujasumbua wake za watu na simu saa nane za usiku wewe?? Isijekuwa ulijibiwa mbovu basi ndo unajaribu kufananisha madesa!
 

Taratiiiibu! Punguza hasira bibie.
Unaweza kuthibitisha kuwa mi ndo mwenye matatizo?
 
Taratiiiibu! Punguza hasira bibie.
Unaweza kuthibitisha kuwa mi ndo mwenye matatizo?

Mood yangu ipo normal wala sina hasira!! Halafu we ni nani hadi usiwe na matatizo? What makes you think kuwa hukuwa na matatizo? Unaweza kunishawishi kuwa u were not the problem kiasi kwamba uachane nao halafu uendelee kuwasema wao tu ndo wakosaji? Anyways, kwa kukusaidia tu kama hukunielewa vizuri, nilimaanisha kuwa nobody is perfect! Jiangalie vizuri na wewe waweza kuwa tatizo lipo kwako, na yawezekana kabisa uliwatua mzigo baada ya kuachana nao! so kuendeleza negativity kutakufanya ujisahau na kujikuta unarudia makosa hata kwa huyo mamsap mtarajiwa! Btw, I accept that onus of proof and u've to reject any hard feelings! First of all, u have that ego of selfishness in the name of love na unaangalia matakwa yako tu thats why unasema hawakufai, do you think uliwafaa? Automatically hukufit na wala hukufix na ndo maana you ended up departing! Then, do you agree kuwa you were a too much sucker? Be it like parasitic habit, too much dependant instead of creating condusive attitude of emotional conveyance as per love embrance, thats why you ended up lacking compatibility! Kikubwa wewe ni mwanaume sio? Sasa sitaki sana kusema what I observed from ur posts however I can ask you one question, kichwa au shingo, kipi kiondolewe ili kimoja kiweze kufunction properly? To be continued.........
 
hapo red , Khaaa!

mi naona nimtangaze kipipi kuwa ndio starring wa hili sredi tu.
 

aiseee, umenifurahisha bibie. Thanx
 

kweli kabisa mkuu. Hebu waulize bila ma bar maid kule bar tungehudumiwa na nani?nani angeleta vinywaji? Jamani Bar maid ni kazi kama nyingine.
 
hapo red , Khaaa!

mi naona nimtangaze kipipi kuwa ndio starring wa hili sredi tu.

hahahahaaa lawyer bana, hii movie ya mtaani dot com na inategemea sana hali ya hewa ili iweze kuendelea, bahati mbaya mdhamini hatoi ushirikiano!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…