Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Nahisi ni wakati sahihi wa kuanza kufanya maendeleo na kufikiria ni kwa jinsi gani ninaweza kutoboa kimaisha. Imenibidi kuachana na mawazo ya mbususu katika akili yangu.
Kipato changu cha wiki kwa sasa ni Tsh. 90,000. Cha ajabu kiasi cha Tsh. 40,000 nakielekezea kwa Mariam huku kiasi cha Tsh. 10,000 nikikielekezea kwa Bi Mkubwa. Kiasi kinachobaki ni kwa ajili ya chakula changu pamoja na pesa ya umeme
Inasikitisha sana wakuu. Leo akili ndiyo imeamka baada ya kukuta taarifa kwenye simu yangu ikiniambia "Bado siku 17 ulipie kodi ya miezi sita ijayo. Mimi mama mwenye nyumba". Hapo nimetamani kurudisha ujumbe unaosomeka "Ushawahi kupapuchana na mtu mwenye de libol likubwa mama mwenye nyumba?"
Kwa hali hii nimeamua kulipumzisha kabisa. Badala yake kuliko kwenda masaa 20 kwa wiki, ni muda wa dakika 14 tu kwa wiki, kwa lugha nyingine nitahudhuria chaputa ya dk. mbili mbili kila siku hadi mwezi wa tatu mwaka ujao
Kwa sasa nimekwisha ziuia mawasliano zaidi ya 60 kwenye simu yangu. Kwa makusudi kabisa nimeanzisha chuki uchwara na majirani wanawake kama 7 mtaani. Rasmi nimeamua kutengeneza urafiki na watumishi n.k.
Katika safari yangu hii ya kuokoa uchumi wangu, tayari nishaanza kupata vikwazo mbalimbali kama vile kukubaliwa na binti aliyenipeleka puta kwa zaidi ya miezi miwili, kuna picha nzuri ya aina yake na mtrako juu [emoji39][emoji39] imeamia hapa kitaani, kwa sasa napokea salamu nyingi kutoka kwa wachumba barabarani.
Kuna binti alipita mitaa ya gheto akiwa na khanga kisha kuifunua kwa bahati mbaya nikaona utamu ulivyoumuka kiasi cha kupoteza mawasiliano kwenye kichwa kikuu, mke wa mtu kutazama kifua changu wakati natoka kuoga na kuishia kumwaga udenda n.k.
Yote kwa yote msimamo wangu uko palepale, naombeni mniombee!
Na hili nalo mkalitizame kwa kina.