Nimeamua kuresit mtihani niombeeni wakuu

Nimeamua kuresit mtihani niombeeni wakuu

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Baada ya kuona udj unalipa. ila kwa kiasi chake..
sasa nimeamua kuresit mtihani..kuanzia sasa. na mwezi wa kumi na moja ntafanya "pepa " lengo langu ili niwe sound engineering asiye midosho bali mwenye vyeti.. Japo kazi ya udj itakuwa pale pale coz ndo inanilisha. na kodi ya maghetoni silipi maana mama mwenye nyumba me ni kiben10 chake!.mungu anisaidie...
Pancho boy
 
Back
Top Bottom