Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
wa form 4 mkuu maana me nna Cheti tuu mkuu
wa form 4 mkuu maana me nna Cheti tuu mkuu
Naam mkuu nipo hapa.. japo nimekunywa chainizi ohhh sorry mkuu.. chai tuu
kwanini mkuu so niikaushie tuu
Shukrani mkuu
asante sana mkuu
ndo nimeamua kweli mkuu japo mambo mengi yanabanaUkiamua kusoma, soma haswa, hadi uende na chuo ukasome fani unayo taka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama nilivyoeleza.. nataka nisomee sound engineering. je ni Chuo gani wanafundisha?
Ni kweli jomba.. hiyo kitu me huwa haipandi kabisa..Nakushauri unaporesit usichukue b/mathematics.
Usiniulize kwanini.
Kila la kheri jombaa.