Nimeamua kurudi CCM rasmi

Ninadhani watu waliipenda CCM kwakua ndiyo chama pekee walichokifahamu kwa miaka mingi ingawa hakikuwasaidia kuondokana na umasikini wao. Tofauti ya CCM hii ya Magufuli ni kauli za wanasiasa, muongezeko wa kodi na tozo. Kuchelewwshewa mafao ya kustaafu. Nk.
 
Sikipendi hichi chama cha kijani ila najua hakitakaa kitoke madarakani kamwe na huu ndo ukweli mchungu


Labda miaka 20 ya baadae huku maybe kunaweza kuwa na mabadiliko
Mmh hakuna kisicho na kikomo cha kuwa labda roho na wakati
 
Ardhi- kodi

Ukijenga nyumba- kodi

Ukisema uweke na chumba kimoja upangishe- kodi ya biashara inakuhusu.

Frame ya duka- kodi, unae mpangisha nae- kodi ya biashara yake inamuhusu

Kila unachokula, kuvaa na kutumia- kodi



Umeme na maji unalipia na kode juu

Wafanyabiashara binafsi hatuthaminiki hata kidogo wakati ndo walipa kodi wakubwa.

Alafu fedha ya nchi yetu iliishi kushuka thamani.

Ni chama gani kinayaishi haya yote.

Kubadili chama tawala wakati ni sasa, no matter what



Kuna faida kubwa ya kua na vyama viwili vyenye nguvu, tusisahau hilo.



Chama kikijua kua kuna upinzani lazima kikae makini na kumjali mwananchi kwani yeye ndie boss
 
Bila kuyatunza makaburi kuna mengi yanaweza kufanyiwa
Wanga watayageuza vilinge
Wachawi watayageuze machimbo ya malighafi
Vibaka watayageuza maficho na ukabaji
Wahuni watayageuza vijiwe vya bangi na ubakaji
Machangu watayageuza gesti bubu
Kutoka a na sheria ya maudhui zile nada zako za ushirikiano zitafutwa ee.?
 
Mshana mkorofi sana..Unampa presha Meko mwenzako anakata nauno huko Songwe Leo..kapagawa haamini kuwa nchi inaenda!
 
Mshana mkorofi sana..Unampa presha Meko mwenzako anakata nauno huko Songwe Leo..kapagawa haamini kuwa nchi inaenda!
[emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji38][emoji38]
 
Mwanzoni ulikuwa wapi? Ukitoka ccm Sasa hamia CHAUMA
 
Mwanzoni ulikuwa wapi? Ukitoka ccm Sasa hamia CHAUMA
Mwanzo nilikuwa ccm halafu nikawa sina chama rasmi sasa nimeamua kurudi tena ccm..huko chauma ni ushauri wako nimeusikia lakini sina mpango nako
 
*TANGAZO*
Mh.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jana tarehe 1/10/2020 amesitisha tozo kwa wajawazito wanaoshindwa kufuata taratibu zilizoweka za masuala yahusuyo Afya ya Uzazi ikiwemo kuchelewa kuwahi kliniki n.k.

Hivyo mnatakiwa kuachana na sheria hizo ndogondogo mlizojiwekea ngazi za vijiji na kata mpaka hapo mtakapopokea maelekezo mengine.

Barua rasmi inakuja.

*DMO MUFINDI DC*
 
Dah yaani kwamba CCM inapoteza madaraka alafu inakuwabupinzani uchaguzi huu na wewe unataka uwe chama pinzani atiii
 

Andika lingine.. watu walipata kisichostahili kwao.. nchi inanyooshwa awamu hii.. furaha kwetu wote..

Kodi hata kwa Biblia watu walilipa.. bila kodi hakuna maendeleo..

Tukutane Ubungo.. nasikia ni kama majuu..
🥳🥳🥳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…