Nimeamua kurudi CCM rasmi

Mkizuia madini MIGA....

Viva Magu 2020 to 2030
Uongozi wetu na hatma ya Tanzania kilinunuliwa na tiss chote Sasa wakakinunue na kile cha amstadam mpaka kule Amazon. Mwaka huu tunawapiga kila sehemu mkiiba kura hatukubali mkipiga watu risasi the Hague weweeeeeeeeee
 
shida ni kuujenga upinzani....

Ndio sababu ya kuwachangisha wabunge na kupata ruzuku nene ili kugharamia ukuaji na mahitaji ya ofisi za kata na vijiji..

Ndio sababu ya diasporaz na taasisi za nje kukichangia chama pinzani ili kije kichukue dola.

Ndio sababu ya kutaka chama kikuu cha upinzani kisiwe na mwenyekiti wa kudumu..

Until then CCM oyee

Viva Magu 2020 to 2030
 
Hapana kuna namma ya kuzuia kishirikina
nitaamini utakapowakabidhi kichinjio au namba zake kitambulisho cha mpiga kura maana zinakusanywa
hapo nitajua umesharudi rasmi ili tuhakiki baada 28 Oktoba
 
nitaamini utakapowakabidhi kichinjio au namba zake kitambulisho cha mpiga kura maana zinakusanywa
hapo nitajua umesharudi rasmi ili tuhakiki baada 28 Oktoba
Hapana hiyo ni jinai kwa sheria zetu za Tanganyika
 
Cc
Mshana Jr

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app

Ha ha haaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sidhani


Eeeeeeeh
Lolote tu.. siku hizi hata Msata hukuongelei tena.. mikato mikato ilikwishney..

Nikipata muda nitasoma yote umemwaga.. siku hizi kisichonipa maarifa mimi.. na kipesoni kwa mtu.. sipotezi muda na uzi huo humu.. 2020 πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’šπŸ’šπŸ’š
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]life limekuwa tight
 
Mshana Jr utakubaliana na sisi wana CCM makini kuwa nchi iliharibiwa na mjenzi wa sasa ni Dkt Magufuli, karibu sana mtu wa Mungu.
 
Mshana Jr utakubaliana na sisi wana CCM makini kuwa nchi iliharibiwa na mjenzi wa sasa ni Dkt Magufuli, karibu sana mtu wa Mungu.
Kwa miaka59 ya uhuru chini ya ccm nchi imedumaa sana ...Mchonga alikuwa na maono makubwa lakini waliofuatia wote mmmh.....Nitatudi ccm kwa sababu nimezoea kuwa mpinzani
 
namshukuru Muumba, sijawahi kumiiki kadi ya CCM toka nitoke tumboni mwa mamangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…