Nimeamua kutulia na mke wangu

Yeye ameamua kutulia na wewe?
Unampa pesa ya mchezo kila wiki?
 
Kwa sasa najitahidi kupambana na vishawishi tu, unajikuta unamtimizia malengo yake huku ya kwako yakiwa yamesimama
Vishawishi lazima viwepo mkuu maana kuna pisi utafikiri zimeshushwa kutoka mbinguni laivu. Na sasa hivi kila kitu kitakula njama ili kukuangusha. The entire universe will be against you ili kukujaribu. Hata pisi ambazo mlikuwa hamsalimiani sasa hivi zitaanza kujigongesha. Usitetereke hata pisi iwe kali namna gani 😁

Your browser is not able to display this video.
 
Shetani ana nguvu sana, kidogo niufute huu uzi
 
Hapa wife katoka kusema Hapendi wanaume wanaochepuka yaani wanao wake zao halafu wanaochepuka...ikabidi nianze kuzungumzia SGR kwamba ipo Lindi huko baadae nakumbuka Kumbe kule Kuna bwawa sio SGR 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…