Nimeamua kuwa cheater


Nadhani u are right, the mdada anahitaji ushauri zaidi. Ameelezea from the bottom of her hearth kama ukimsoma vizuri. Jamani mpeni ushauri kuliko kumbeza
 

Duuh haya! uwe makini sana maana unaweza kuwa cheater ukiona ndio solution mwisho wa siku ukazungukwa na cheetah kuna watu hawataki masihara!
 
Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimeamua kuwa cheater, uzoefu wangu kwenye maswala ya mahusiano umekuwa sio mzuri japo nilijitahidi kuwa mwaminifu sana. mimi nimeamua niishi kisanii kuanzia mwaka 2012.

Getrude :Just because today is a terrible day doesn’t mean tomorrow won’t be the best day of your life.also remember when your down to nothing God is up to something!
 

Dada Getu hebu jiulize maswali yafuatayo:
1.Je ukienda kuchit unatumia li UCHI la nani?
2.Madhara yatokanayo na kucheat ikiwemo UKIMWI,STD's kupigwa,li mimba na mengineyo yakitokea je yatamkuta huyo au hao waliokufanya uwe cheater?
3.Je umekaa chin ukatafakari njia zingine za kusolve tatizo lako la kucheatiwa?
MAONI: Jaribu kutathmin thaman yako na kisha ubuni solution nzuri kuliko kuwa malaya.KWANI HIYO DUNIA UNAISHI PEKE YAKO HATA SISI TUNAPATA CHALENGE ZA MASWALA HAYO ILA UVUMILIVU NA BUSARA VINATUFANYA TUSIKATE TAMAA KWENYE MAPENZI.
 
Do not commit adultery (deuteronomy 5:18), on the way to your decision you will meet married men.
 
Karibu..tuko kina leopard, lion...... Cheater is small na muogaa karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…