Nimeamua kuwa mzalendo liwalo na liwe mabeberu wanatuonea sana nakinukisha

Nimeamua kuwa mzalendo liwalo na liwe mabeberu wanatuonea sana nakinukisha

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
8,082
Reaction score
17,838
Mzuka!

Yatosha nasema yatosha. Nimeweka tofauti zangu za kiitikadi nakumuunga Jemedari anayetuboreshea maisha yetu na kutupeleka uchumi wa kati. Lakini mabeberu wanataka kumkwamisha. Sitakubali Rais wangu adhalilishwe nitakuwa mzalendodaima. Nakinukisha muda si mrefu na hadi jumatatu ndege yetu itatua salama.

Screenshot_20191120-203041.jpg
Screenshot_20191120-203135.jpg
IMG_20191121_132637.jpg
 
Kama Mzalendo wa kweli tumalizie kazi hapo Ulaya just one shot, problem solved, tutakushukuru milele na hata Mungu atakubariki Daima!
 
Back
Top Bottom