MADARAKA DANIEL
Member
- Oct 26, 2012
- 93
- 22
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25,naishi DAR, nimejitokeza katika jukwaa hili ili kusema ya moyoni ya kwamba kwa sasa naitaji msichana ambaye kama mambo yatakuwa mazuri twaweza kujenga familia yetu.....awe na sifa zifuatazo
0753756956 au 0714303414
- AWE ANAISHI DAR
- AWE MCHA MUNGU, NA ANAYEPENDA KUONGELEA MAMBO IN POSITIVE WAY
- UMRI KATI YA MIAKA 20-22
- SUALA LA ELIMU NI KUANZIA FORM 4 NA KUENDELEA
0753756956 au 0714303414