mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25,naishi DAR, nimejitokeza katika jukwaa hili ili kusema ya moyoni ya kwamba kwa sasa naitaji msichana ambaye kama mambo yatakuwa mazuri twaweza kujenga familia yetu.....awe na sifa zifuatazo
AWE ANAISHI DAR
AWE MCHA MUNGU, NA ANAYEPENDA KUONGELEA MAMBO IN POSITIVE WAY