Nimeamua naenda mkoani......thanks JF!

Mkuu hongera sana sana na nikija meatu nitakutafuta sana mkuu tuje tupate moja moto
 
Asanteni JF nitawajuza kimoja baada ya kingine...........nipo apa nasubiria lunch na hr wangu....yaani ndo kwanza nipo nawapa faida za kufanya kazi mkoani...wanachekajeee?hahahhaaaa

Jf members i lov u so much all najiskia tofaut sana na bora niliipost hapa...from today mshaur wangu mkuuatakua nyie.........pamojaaaaaaaa
 
tena huko ndio kuna hela balaa,utashuhudia siku moja,pesa ziko vijijini bana!saikolojia ya vijana maisha ni dar tu hovyo sana,i have born thea,raised there,schooling lakini mwisho wa siku ni sehemu amabyo sipendi ishi kamwe toka nimehamia mkoa mwingine!dar mara moja moja sana ndio mzuka...kila la heri
 
kila la kheri maisha ni popote sio lazima dar!!! panga mambo yako utashangaa maisha yatakunyookea!
 
Congratulations....good luck and all the best in Meatu.
 

kila la heri, huku mbuzi kama kuku wa singida. Utakula nyama mpaka utazichoka
 
Karibu Lake Zone kaka.Huku ndo utajua kuna watu matajiri tofauti na ulivyofikiria.I tell you you wont regret!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…