Nimeamua niache kazi nikajiajiri

Wew acha kumpa mwenzio uoga na uvivu wa kufikiri,, watu waliuza kipindi cha Great economic depression ya dunia,, sembuse leo apa TZ ambako tunaambiwa kuna njaa ??? sehem yeyote ukiona watu wanakula ujue biashara yeyote ile inaenda...!! Au nikikwambia mi nauza BIBLE huko MACCA utaamini?? na zinatoka biashara imenyooka.......................................
 
MMMH,,,, we nae unaamini siasa za wachanga izo,,, ,,ebu uschekeshe walonuna na wew,,, we Congo sio ya kukosa 1b $........usisambaze fear kwa watu kwa izo siasa zao za kitoto
 
MMMH,,,, we nae unaamini siasa za wachanga izo,,, ,,ebu uschekeshe walonuna na wew,,, we Congo sio ya kukosa 1b $........usisambaze fear kwa watu kwa izo siasa zao za kitoto
Lol sijasema mimi wame sema wao na wame declare ukweli nilitazama news tarehe 16 January waziri wa fedha DRC ali declare...

si mie!
 
Sawa endelea kufanya kazi kwa mhindi bila kujiuliza alizipataje mpaka amekuajili wewe
 
Kama IPI ?? Full profit after kutoa matumizi
 
Hongera sana kijana. Hakikisha unakijua unachotaka kufanya kwa undani then kuwa tayari kwa changamoto ambazo ni nyingi sana. Kipindi cha mwanzo utapata kazi kweli kweli lazima upige moyo konde. Inaweza chukua more than five years Kujenga biashara yako lakini it's better that way kuliko ufanyie mtu kazi for 30 years uje ule pension ya 80M. All in all sio lazima wote tuajiriwe at the same time sio lazima wote tujiajiri.
Angalizo : Usiwe mvivu kama unataka kufanikiwa hakuna miujiza huko.
 
Haujasema baada ya kujiajiri.akifikisha miaka 30 ya biashara.atakuwa na sh ngapi?
 
hata kwenye kujiajiri pia utakuwa unatumwa sana tu..

so jiandaee
 
Haujasema baada ya kujiajiri.akifikisha miaka 30 ya biashara.atakuwa na sh ngapi?
It takes years, efforts and smart plans kuwa millionaire. Sijui lolote kuhusu uwezo na mipango ya mtoa mada, labda shida yake kubwa ni kuepuka kero anazopata kazini hata kama atapata kipato kile kile au anataka kwenda extra miles in term of financial capacity.

Kuna watu wamejiajiri na wapo wengi tu lakini wana kipato cha kawaida kuliko hata waloajiriwa na hawana hata wazo la kupandisha pato lao yani wako satisfied kabisa. My point is lazima ujue malengo yako.
 
Ni ktk kumpa mojawapo ya changamoto iliyopo sasa ili aingie akiwa na tahadhari juu ya siko la bongo...... Umenifurahisha ktk kuuza Bible Macca... Nadhani unata niamin biashara haina formula
 
Hongera.
 
Uamuzi uliochelewa....ila sio mbaya hata anayekumbuka shuka asubuhi hujifunika na kulala kama waliolala mapema kuliko yeye.
lakh 5 ni pesa nyingi sema unahitaji kuwa mvumilivu na utafika na kufurahia maamuzi yako sahihi
 
Ushauri wa kuoga huu. ...hakuna kitu inanikera kama msomi anaposema unatake calculated risks...upuuzi daraja la kwanza. ...risks are just risks no more no less.
umwamua kuacha kazi acha ingia mtaani mengine muachie mungu....finito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…