fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
- Thread starter
-
- #21
kazi ina hela tunaichukulia poa tuMkuu Nishawahi kumuuliza Mpaka Rangi za Wadada Mmoja anayetembea anazunguka Mji Mzima .... Anadai Per Day anapata Wateja wasiopungua 30 na Siku zingine anapiga Mpaka 40+
lazima ihusike kiainaVipi ya overtime utatoa?
Nduki....lazima ihusike kiaina
sijaelewa mkuuNduki....
Unamaanisha ambao kucha zinatizama chini ya ardhi???Wadada hawa wenye kucha mbaya kama Mwewe au kuna wengine umelenga?
Umesema umeamua yaani umechukua maamuzi,kisha ukasema umeshawishika,yaani umekua inspired,unataka kusema hiyo kazi umeshaianza au ndio umechukua uamuzi wa kutaka kuianza baada ya kushawishika?hujanielewa mkuu
yote kwa yote mkuu nimeamua kufanya hiyo kazi mkuuUmesema umeamua yaani umechukua maamuzi,kisha ukasema umeshawishika,yaani umekua inspired,unataka kusema hiyo kazi umeshaianza au ndio umechukua uamuzi wa kutaka kuianza baada ya kushawishika?
ndo zipo hizoUnamaanisha ambao kucha zinatizama chini ya ardhi???
😀😀😀Hongera sana ila epuka kuwatawanya miguu wakati unawapaka rangi.
Roho wa Mungu akutangulie Mkuu, Ufanye Kadha na Sio Kadha wa Kadhayote kwa yote mkuu nimeamua kufanya hiyo kazi mkuu
hahahaha kwann sio kadha was kadha mkuu???Roho wa Mungu akutangulie Mkuu, Ufanye Kadha na Sio Kadha wa Kadha
kwann mlimpiga mkuu wakati mwenzako alikua anajitafutia rudhiki?Hahahaaa tuliwahi kumtembezea kichapo sana jamaa mmoja hivi......si tukajua anaishia kuwapaka rangi tu bhana...!!?
sinadadawalamamaakachekasanaAnza na dada zako na mama uweke na picha hapa tujidhihirishe kweli upo vizuri ndipo tukupe madem zetu.