tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
Habari zenu wakuu! Baada ya kuzitafakari changamoto zinazoendana na mademu wakali, nimeamua nijivue gamba. Mademu wote wazuri niliopata kuwa nao au kuwafatilia wote ni pasua kichwa>kuteseka nimechoka na kikomo nimefika. Nataka nijikite kwa demu wa kawaida na usiniulize kawaida ni nini.