tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
Kushusha passmark sio hoja, tazama mzizi wa tatizo ni nini kwanza.
Mh hapo kazi ipo, waschana wote ni wazuri.
Mchukue huyohuyo mzuri mchore usoni kimakonde atapoteza mvuto hakuna atakayekuibia beeestiii😛oa
Ni kweli mkuu!! Mimi nimeshachoka na hawa pasua kichwa!!
ndio ivo))))))Habari zenu wakuu! Baada ya kuzitafakari changamoto zinazoendana na mademu wakali, nimeamua nijivue gamba. Mademu wote wazuri niliopata kuwa nao au kuwafatilia wote ni pasua kichwa>kuteseka nimechoka na kikomo nimefika. Nataka nijikite kwa demu wa kawaida na usiniulize kawaida ni nini.
aaah aah nimchore huku ye ananiangalia tu? Narudi FB
ni pasua kichwa na usipoangalia unapasuka kweli. Ni zaidi ya tatizo pale demu anapokuwa mzuri, anajijua kwamba ni mzuri na watu wanamsifia kwamba ni mzuri. Narudi FB
Ni kweli mkuu!! Mimi nimeshachoka na hawa pasua kichwa!!
Naona mkuu tindikalikali unakuja na kibwagizo kipya cha Narudi FB mbona hujakatazwa mkuu kurudi huko, usijishuku.
:focus:
Hata hao wa kawaida sio wote wanafaa, angalia tu yule mwenye sifa unazopenda, tabia njema na unaweza kuishi naye milele yote!!
Kila la kheri mkuu katika kuchagua kwako.