Well hongera!!
Hakikisha tu kwamba maisha ya umama utayaweza..being a good mother is not EASY!!
Namuonea huruma huyo mtoto kwani atakosa malezi ya baba...
Just because Mr so and so isn't responsible it doesn't mean men aren't needed to raise a child. There is a good reason why you need both parents to make a baby and so does raising it. Revolutionary speaking, a female human needs to choose the right male who will stick around long enough until their offsprings are able to pass on their genes.Wangapi wanaishi na baba zao nyumba moja na hawapati hayo ''malezi ya baba''??
Heshima zenu wanajamvi wa mmu, bila shaka mnakumbuka post yangu ya nyuma kuhusu kuolewa nashukuru sana wengi wenu mlinitia moyo mkanifariji na mkanipa mawazo kemkem ya kusonga mbele, nilikua natafakari mambo mengi kwa muda wote ule na kuna jibu moja la maana nimelipata na litawafaidieni na nyie ni kwamba, upande juu ushuke chini KUNA KIPINDI MWANAMKE ANAHITAJI KUITWA MAMA usichana basi na anatamani jina lake libadilike si Sofia tena anatamani kusikia mama fulani, sasa basi nimeamu nitafute mtoto kwa udi na kwa uvumba bila kuwa na mume nimeamua kufungua ukurasa mpya wa maisha naenda zangu mbali nikiwa na maana ya kuama
sitahiji uhusiano wowote na watu wa zamani wala comunucation wala rafiki wala shoga nabadilisha namba ya simu nafunga email yangu naenda kuanza upya marafiki na mashoga zangu mtanisamehe sana walio kuwa wapenzi wangu ndio kabisaaa hawatakaa wanisikia wala kuniona nimeamua ndio maisha mapya wa kuzaa nae nishampata kwa vile nimeona hana mwelekeo wa kuoa nikishabeba mimba tuu namtoroka hatakaa anisikie kwa chumvi wala kwa sukari ni mimi na mwanangu tuu, habari ndio hiyo
nitamwambia mtoto wangu ukweli SIKUOLEWA nilizaa tuu
ili heshima yangu isipotee na baba yake hakuaanahitaji mtoto thats all.
Geen desperation mbaya sana huyu utafikiri labda ameambiwa kuwa asipopata mtoto she will dieNimekwambia hivyo cz best friend wangu ni product ya kisa kama chako,mama yake alimdanganya mara baba amekufa mara baba hamtaki,ila dunia hakuna siri alichunguza hadi akapajua kwa baba yake,siku anaenda anaambiwa baba yako yupo mgonjwa wahi kijijini hata umuone,kufika huko anakuta baba amekata roho,hadi sasa best yangu anamuona mama yake ni kama gaidi number moja duniani na hataki hata kumuona wala kuwa katika maisha yake,tumesuluhisha tumeshindwa,
Ushauri wangu kuwa single parent but angalia ni jinsi gani mtoto atamjua baba yake
Nimekwambia hivyo cz best friend wangu ni product ya kisa kama chako,mama yake alimdanganya mara baba amekufa mara baba hamtaki,ila dunia hakuna siri alichunguza hadi akapajua kwa baba yake,siku anaenda anaambiwa baba yako yupo mgonjwa wahi kijijini hata umuone,kufika huko anakuta baba amekata roho,hadi sasa best yangu anamuona mama yake ni kama gaidi number moja duniani na hataki hata kumuona wala kuwa katika maisha yake,tumesuluhisha tumeshindwa,
Ushauri wangu kuwa single parent but angalia ni jinsi gani mtoto atamjua baba yake
hakuna uselfish wowote hapa sio kila mtu anapata bahati ya kulelewa na wazaziyou are too selfish! mtoto ana haki zake, kati ya haki hizo ni kupata mapenzi ya wazazi wake wote, baba ni muhimu sana katika malezi ya mtoto. usijifikirie wewe tu.
hatakama sio sahihi ila nitakua uptodate na maisha sio wenzangu wenye umri wangu wana ongelea wajukuu mi ndo kwanza naongelea kutafuta mtoto lolSina uhakika sana kama staili hiyo ndiyo suluhisho, Maana huyo mtoto utakaye zaa still atakusumbua sana kuulizia baba yake kitendo ambacho kimsingi kitakurudisha kule kule ulikokukimbia.
Kukimbia tatizo si suluhu ya tatizo, unaweza kubaki na kufanya maamuzi magumu ya kubadili tabia na kutokuwachekea tena waliokutenda na bado ukawa na maisha mazuri ya kuheshimika huko baadaye.
Nashindwa kukushauri sana maana sikumbuki kisa chako cha mwanzo kilikuwa ni nini hasa ...
hee 32yrs kidogo? Huku nikunipa moyo tuu, kuna dada mmoja alifika 36yrs kaambiwa amebakisha 1yr aingie kwenye menopouse, kama hujawahi kuzaa menopouse inaanza mapema sana tofauti na walioza inachelewa hadi kwenye 60ys32 years mbona bado unadai?una miaka mingi tu kabla ya menopause.au kila rafiki zako wana watoto?jipe muda kwanza usifanye haraka.inaomyesha kama una stress hivi.jipe busy kwa mambo mengine.ila kama uamuzi wako hautobadilika.good luck.unaweza ukawa single mum,ukawa mama mzuri tu kwa mtoto wako,kwa wanaosema,maisha bila baba kwa mtoto sio mazuri.mimi nimeishi bila baba,mama alikuwa the best mum,na sijaona mapungufu yoyote yale katika malezi niliyolelewa
nashukuru sana kwa ushauri mzuri, ukweli ushauri wako umenigusa na umenifanya nilie sana kwa uchungu ila sina lakufanya, sijawahi kutamani wala kuvutiwa na maisha ya single parent na nisingependa yatokee kwenye maisha yangu kamwa ila sina jinsi kaka yangu, kwasababu sijaolewa isiwe ndio sababu yakukosa mtoto nina 32yrs sasa keshokutwa tuu naingia kwenye menopose nikose mume na mtoto pia nikose? Ujanani nimelilia mume sijampata inamaana uzeeni nije nililie mtoto tena noöo, kuna watu wamefiwa na waume lakini watoto wanawafariji, watoto ni hazina kwenye maisha nikikosa mtoto sitakua na thamani yoyote maishani, nimejitahidi kùvumilia na kusubiri ila naona nimefika mwisho siwezi tena nimechoka nimechoka nimechoöooka nakubali aibu dharau na kashfa zitakazoniface sina ujanja wala mbinu yani sijiwezi mawazo yangu yamefika mwisho sina lakufanya0
hili jambo silifanyi makusudi ila inanibidi sina muda wa kusubiri tena miaka inakimbia sana nami nahitaji kuzaa angali na nguvu 32ys kwakusubiri inatosha kabisaChukua muda kaa chini, usifanye uamuzi wowote wakati bado una hasira au kinyongo na mtu. Kuwa na mtoto ni jambo zuri wether kuna baba au lah. Lakini usichukulie mtoto kama object ya kukusahulisha machungu ya maisha, kuwa mama esp single mama takes a lot of work and dedication na love is most important thing of all.
hee 32yrs kidogo? Huku nikunipa moyo tuu, kuna dada mmoja alifika 36yrs kaambiwa amebakisha 1yr aingie kwenye menopouse, kama hujawahi kuzaa menopouse inaanza mapema sana tofauti na walioza inachelewa hadi kwenye 60ys