S seminarian Member Joined Jun 8, 2024 Posts 24 Reaction score 26 Dec 31, 2024 #1 Baada ya kipindi kirefu Cha kuwa njia panda nimeamua nifunge mwaka na kubadili kozi.
C commm JF-Expert Member Joined Sep 6, 2019 Posts 1,709 Reaction score 1,963 Dec 31, 2024 #2 Sasa hivi unaenda kusoma kozi gani?
Meneja Wa Makampuni JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 7,899 Reaction score 10,415 Dec 31, 2024 #3 Kuna watu wamesoma Chemistry kwasasa wapo TBS wanakula pesa.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 1, 2025 #4 Kila la kheri... Cc: Mahondaw
kingundya JF-Expert Member Joined Apr 22, 2013 Posts 2,000 Reaction score 3,352 Jan 1, 2025 #5 Bachela ya Fizikia Kemia Baiolojia Kiswaholi Historia Kama ipo Ni upotezaji wa muda kuliko upotezaji wa muda wa namna yoyote ile katika elimu. Miaka mitatu unarudi na masteriocjemistry yako na hakuna mtu ana yataka unapagawa
Bachela ya Fizikia Kemia Baiolojia Kiswaholi Historia Kama ipo Ni upotezaji wa muda kuliko upotezaji wa muda wa namna yoyote ile katika elimu. Miaka mitatu unarudi na masteriocjemistry yako na hakuna mtu ana yataka unapagawa
M Mtambachuo JF-Expert Member Joined May 6, 2023 Posts 1,907 Reaction score 3,560 Jan 1, 2025 #6 Ulikuwa mwaka wa ngapi?