Nimeamua rasmi kuishabikia Azam FC

Nimeamua rasmi kuishabikia Azam FC

adriz

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2017
Posts
12,207
Reaction score
26,521
Habari za mchana wana JF,

Nimekuwa shabiki huru katika soka la bongo kwa muda mrefu, sasa rasmi kwa akili zangu timamu nimeamua niwape sapoti na kuishabikia Azam Fc kemwa moyo mmoja, iwe shida na raha katika hali zote zile mimi Azam rasmi. Sababu kuu zilizopelekea kuchukua maaamuzi haya ni;

1. Nimeona ni timu ya nyumbani kabisa hata goli likifungwa Azama complex makelele nayasikia nikiwa ghetto hivyo ni vizuri kutoa sapoti kwa jirani. Hata ulaya timu ndogo lakini unakuta ina mashabiki wengi kwa sababu watu wa eneo husika huwa wanaweka uzalendo kwanza kusapoti timu yao ya mtaani.

2. Kutokana na mapinduzi waliyoleta katika soka la bongo, nia yao ya dhati ya kuendelea soka hapa nchini na uwekezaji wao katika soka la vijana nk naona hawa ni kupewa sapoti kubwa.

Ni furaha kubwa kujiunga na timu bora bidhaa bora nachukua uzi wao wa bluu kabisa niweke kabatini.

watch-prince-dubes-brilliant-strike-sinks-simba-sc-1200x900(3).jpg
 
Ila hongera mkuu ninaheshimu maamuzi yako. Fanya kile roho inapenda wengine tutafia humu humu unyamani
 
Kweli wewe ni mbumbumbu umetukimbia mikia wenzako makolo fc. Kila laheri uendako. Umejikomboa
 
Ila ukweli Azam FC wana timu haswa basi tu kuna vitu bado wana kwama ila wali sort out hakuna wa kuwakamata
 
Kila hero chama langu leo
 
Back
Top Bottom