Nimeamua rasmi kuishabikia Azam FC

Mdau uliona mbali

Maaskini MAKOLO hamna kitu tena pale
 
Sijaanza leo angalia tarehe ya uzi ,halafu mimi ni Mkazi wa Mbande Kisewe huko ndio mitaa yangu Rufu ,Kiponza ,Kwa Tinyango, kwa Firauni nk kote huko napajua kindakindaki hunipotezi sasa nikaamua nipende vya nyumbani.
 
Vile Mandukaz yananivyoniangalia now
 
Magoli alofungwa kipa wa Simba, angekuwa Yanga amecheza na timu nyingine angeshinda yale magoli, Simba wangesema huyo kipa kapewa bahasha.
 
Chama langu Leo linacheza..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…