Nimeandaa Daku kwa ajili ya wafungaji ,Karibuni jamani...!!

Nyoka_mzee

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2016
Posts
3,695
Reaction score
5,531
Katika kutafta fadhila za mwezi huu,nimeona heri ni waalike mje kula daku,kutokana na ftari wengi washajitolea kufutulisha ,acha na mie niwalishe Daku ,kwa mwenye kuweza karibu mida Sita usiku...
 
[emoji12] [emoji12] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
saa sita mapema sana,daku inafaa kabla'ya'alfajir kwa dakika 15
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] daku daku daku daku[emoji125] [emoji125] wacha wee chumba cha wageni kipo???[emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] daku daku daku daku[emoji125] [emoji125] wacha wee chumba cha wageni kipo???[emoji39] [emoji39] [emoji39]
kipo mpaka cha wenyeji kipo pia [emoji4] [emoji4] [emoji4] we njoo tu jirani
 
Mgejua hiyo daku yenyewe ilipo....yaani kwa wale mliopo dar mpande mabasi yaendayo kahama mkifika sehemu moja inaitwa MWAKATA mnashuka kisha mnanyoosha njia iendayo NKATA mnauliza kwa mwenyekiti wa KATA mnamuambia awaelekeze kwa Nyokamzee akisema atawapeleka kesho MKATAE KATA KATA MPAKA ATAKAPO AMUA KUKATA MITI YA KATA akikata miti basi mnaanza kutembea kwa KWATA kuelekea NKATA
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nikheri mkuu lkn dah saaa 12:00 usiku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…