Nimeandikiwa kipimo cha endoscopy

wasaalam wana jf doctor
leo nimeenda hospital kwa matatizo yangu ya tumbo na doctor amenitaka kufanya kipimo cha colonoscopy,jamani naombeni ushauri wenu maana naogopa sana .
samahani nimekosea heading ilitakiwa iwe colonoscopy
Vipi majibu yanasema una tatizo gani?
 
Duh mkuu hapa umemtia moyo ama umemtisha?
 
Wandugu kwa Tanzania sehemu gani wanafanya hivi vipimo na wana vifaa vya kisasa?. Naulizia ile ambayo una lala kabisa
 
wasaalam wana jf doctor
leo nimeenda hospital kwa matatizo yangu ya tumbo na doctor amenitaka kufanya kipimo cha colonoscopy,jamani naombeni ushauri wenu maana naogopa sana .
samahani nimekosea heading ilitakiwa iwe colonoscopy
Mkuu umefikia wapi juu kipimo cha colonscopy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…