Nimeangaika takriban mwaka mzima

Nimeangaika takriban mwaka mzima

MWENDAPOLE1

Member
Joined
Dec 8, 2011
Posts
26
Reaction score
1
Jaman wana Jf ,kwanza napenda kuwasalimu wadogo, ni aje? Na kwa wakubwa shikamoni!
Nimejarbu ku log in kwny Jf kwa takrban mwaka mzma lkn imeshndkana ,cha ajabu leo imekubal na kila ki2 nmekiona kipo sawa.
Jaman wana jf napenda kutoa taarfa kwamba nmerudi tena mara baada ya kpnd kirefu.
Wana jf naomben mnipokee tena.
Nawatakia majukumu mema ktk ujenz wa taifa letu.
 
MWENDAPOLE1Karibu kwa mara nyingine.Huko ulikokuwa kwema lakini?
 
Last edited by a moderator:
Ulikosea wapi,hata ilinisumbua hivyo hivyo 2010
 
Back
Top Bottom