Nimeanguka chooni leo. Kuna madhara yoyote naweza kupata?

Nimeanguka chooni leo. Kuna madhara yoyote naweza kupata?

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
8,581
Reaction score
15,618
Leo ahsubuhi wakati naenda kuoga nimeteleza na kuanguka kwa kishindo kikubwa nikiwa ndani chooni.

Nina afya nzuri kabisa. Sina pressure, wala tatizo la moyo.

Kuna dhana kwamba ukianguka chooni, unaweza kufa au kupata matatizo. Naona wife anahema sana. Kuna ukweli wowote kwenye hili?

Mshana Jr
 
Ulishaanza kujimwagia maji? Nilishawahi kuzungumzia suala linalo endana na hili, kama inaweza kusaidia.

 
Back
Top Bottom