Hakuna madhara yeyote
Sababu ya kifo chooni, vyoo vyetu vingi ni vidogo au vyembamba sana Mtu anapodondoka chooni Kitu cha kwanza kujibamiza ukutani ni kichwa kutoka na balance inakuwa haipo ya kutanguliza mkono chini.
Kichwa kinakuwa sehem ya break.
Ukidondoka kwenye Ardhi au sakafu kazi ya mikono inaonekana inavyofanya kazi kuzuia mwili au kiungo chochote kugusa china.
Mkono unapenda kuwa wa kwanza kugusa chini
Chooni hiko Kitu akipo kichwa kitakuwa cha kwanza kugusa ukuta